Is this Love or replacement?

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Habari za blue Monday wakuu? Yangu iko bomba iliyojaa Mawazo kibao ya kujilaumu ya kutafuta riziki ndani ya wiki hii!

Well, embu tujiulize khusiana na suala hili!!

Mtu anakuwa katika mahusiano mazuri kabisa ya mapenzi yaliyojaa Amani na furaha, inatokea wakaachana, mtu anaamua kuelekeza moyo kwa mwingine, bahati mbaya Tena ikatokea wakapigana chini! Anafungua Tena ukurasa mpya! Mapenzi yanamshinda Tena kutokana na sababu kibao za haki zinazomfanya mtu aamue kuachia ngazi! Lakini mtu huyohuyo mwisho Wa siku anatamani Tena aingie kwenye uhusiano mwingine ili moyo wake usiwe mpweke!!!

Sasa mahusiano Kama haya ni ya kupenda kweli au ni kufanya replacement ndani ya moyo? What is love then?

FB!
 
Agreed MadameX
Likizo ya mapenzi ni muhimu sana ili usije ukachemka. We have the tendency of attracting the same kind of trouble. Clear ur head, acha moyo upone ili ukijitosa una akili zako timamu.
 
Nt evryone cn stay single... personally cwez ht kdogo,nkiachana na huyu 3 daez lazma niwe na mwngne cz lonelinec myt kil me...
 
inategemea unaichukuliaje....wakati mwingine unapunguza maumivu na kupata relief huku ukisubiri tena maumivu ya baadae! lakini who knows your love destiny?!
 
Hiyo ni rebound......inabidi mtu achukue likizo ya mapenzi before moving to next one

Suppose umefanya hivyo lakini bado suala la kuachana likaja, hutapenda kuwa na mahusiano mengine?
 
Nt evryone cn stay single... personally cwez ht kdogo,nkiachana na huyu 3 daez lazma niwe na mwngne cz lonelinec myt kil me...

Then you will be changing lovers thoroughout your life? Will you reach to the climax kwa Hali hiyo? Jamii itakuchukuliaje?
 
Hahahhaaaaaa umenikumbusha lile tangazo lile tuko wangapi, tulizana!!!
 
inategemea unaichukuliaje....wakati mwingine unapunguza maumivu na kupata relief huku ukisubiri tena maumivu ya baadae! lakini who knows your love destiny?!

So you mean love ni maumivu? Tufanyeje basi ili tusiumie ilhali walio wengi hatujiwezi bila mapenzi? Na Kama mapenzi ni maumivu kwa nini yakaitwa mapenzi?
 
  • Thanks
Reactions: BIF
hautakiwi uwe mlevi wa mapenzi kiac hicho kwamba hauwezi kukaa single hata kdg,
huko ni kujiendekeza kutakako kuletea madhara kuliko faida.
Watu tupo single tunakaribia mwaka mwa 5 & we are happy na kila kitu kinaenda kama kawaida.
 
Bt siku itafika ukaangukia ktk mapenzi automatically, yakivunjika itakuaje? Hutapenda tena? Je ukijikuta umpenda utakuwa unamaana ya kupenda au kureplace nafasi iliyoachwa wazi?
 
Bt siku itafika ukaangukia ktk mapenzi automatically, yakivunjika itakuaje? Hutapenda tena? Je ukijikuta umpenda utakuwa unamaana ya kupenda au kureplace nafasi iliyoachwa wazi?

Kupenda kupo ila unapohama frm one rltn kwenda nyingine inapaswa upate muda wa kutosha pekeyako
utafakari yaliyopita, ulipokosea, ulipopatia, namna ya kurekebisha makosa, na ujipange ni mtu wa namna gani unamhitaji
ktk rltn mpya ili usije ukarudia makosa.
 
Simple!! Hiyo inaitwa "BANDIKA BANDUA".......a.k.a Mapenzi ya ki-china.......
 
ka hivi bado kuna makichaa wa namna hii wasijua kupenda wala kupendwa mimi nawaita wazembe wewe wa kupoteza tu lazima wana laana za ukoo
 
Agreed MadameX
Likizo ya mapenzi ni muhimu sana ili usije ukachemka. We have the tendency of attracting the same kind of trouble. Clear ur head, acha moyo upone ili ukijitosa una akili zako timamu.

Mapenzi ni kama Maua..
Yachanua na kunyauka..pengine kufa!
Kwa hiyo yakifa kwa mmoja yanaweza kuzaliwa kwa mtu mwingine..
 
Back
Top Bottom