Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi unajisikiaje kumkuta binti kigoli hana kucha katika vidole gumba vya miguuni.wengine wanajitaidi kuvipga rangi lakini wapi! nitarejea kidogo
1 Reactions
47 Replies
15K Views
naombeni ushauri na nifanyeje ninampenzi wangu ambae tumekua kwenye mahusiano kama miezi 4 iliyopita amekua muongo kwangu kwani nimegundua historia aliyoniambia kuhusu maisha yake niyauongo yote...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Za siku nyingi wana Jf. Ebwanae, mimi nimepanga kama mjuavyo kupanga kuna mambo mengi. Sasa katika nyumba yetu hii kuna dada mmoja inasemekana ni mlokole[maana sijawahi kumwona anatembelewa na...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Ndugu wanaJF naomba kuwasilisha hoja yangu ya msingi kwa kile kinachonisibu, mimi ni kijana wa kiume natafuta mchumba na hatimaye awe mke wa kuoa therefore kwa yeyote yule aliye tayari tuwasiliane...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Je ni mda gani unaeza kukaa bila kufanya ngono na mwenza wako ie boy/girlfriend?? Wht abt married couples???
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nlipokuwa form one mwaka 2004 nlitokea kumpenda sana msichana fulan, nilimpenda sana tena sana, nilipojaribu kum-approach alinkatalia (naamin alinikataa kipindi kile kwa sababu alijiona mdogo)...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hivi kwa nini mtoto anapozaliwa anabeba jina la baba, Mfano Jasmine Ali na isiwe Jasmine Sara....? Kwa nini wanaharakati wa mfume dume huwa hawalisemei hili jambo? Ili wanawake waweze kukomboka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
habarini wanaMMU. leo asubh nikiwa kwenye dalax2 nilisikia mjadala ukiendelea, cjui ilikuwa ni cd ama radio station. mjadala ulikuwa unasema kwamba mwanaume ni dhaifu tangu mimba inapotungwa kwa...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
· I, with a deeper instinct, will choose a Woman who compels my strength, who makes enormous demands on me, who does not doubt my courage or my toughness, who does not believe me naïve or...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
  • Closed
mbona ijumaa ya leo hajaweka kesi yoyote....? Mi nasubiri hadi muda huu cjui kapatwa na nini leo.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wana jf tushirikishane hili suala muhimu! wapenzi au wanandoa wengi wanapotaka kuanza mahusiano yao huulizana maswali kama haya...'unasoma wapi, unafanya kazi gani, we ni mnene au mwembamba n.k'...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
A LADY'S INBOX: 1..I luv u dear Invisible 2..Can i take u out tonite? Nyani Ngabu 3..I always feel bad when I see u with another man Asprin 4.. Sweetie don't forget d trip The Boss...
12 Reactions
58 Replies
4K Views
Nimueleweje huyu mke wa jirani yangu. Mimi nimeoa na pia familia zetu ziko karibu sana ila simuelewi jirani yangu. Siku hizi anavizia nikiwa natoka asubuhi akisikia gari anatoka getini na...
0 Reactions
49 Replies
8K Views
Am 24 na my girl 21 Nampenda na cna mashaka juu ya mapenz yangu kwake. Nimejiuliza mara nying kikaona kiukweli nampenda mzur sana hasa tabia. Tatizo yupo serous anataka ndoa huwa tuna shindanaga...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
http://www.youtube.com/watch?v=9OXCStY7yXI Nimesikitishwa sana na taarifa hii, kama una PC waweza fuata link hii hapa chini na kuona jinsi Najiba (22yrs) alivyouwawa kwa kupigwa risasi mfululizo...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Wadau, Assalaam Aleykum ! Wewe ndugu yetu sote ni (ummat wa Mohammad) angalia mwenendo wa mkeo, kidogo si mzuri kuna Ofisa anaiharibu ndoa yako ni muda sasa. Fanya uchunguzi wako taratibu ...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
inakuwaje mwanaume anashindwa kuelewa hisia za mpezi wake, yani huyo mvulana anajifurahisha mwenyewe mkiwa katika tendo lile, unamuonyesha kila dalili kwamba hujaridhika ila bado, unaongea kwa...
1 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna mdada alikuwa anamwambia mwenzake "Mi mwanaume awe handsome tu inanitosha na mambo fulani safi basi ili nizae watoto wazuri, Tabia wala sitajali sana sababu wanaume wote tabia zao...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
Back
Top Bottom