Anadai mtoto ni wangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Anadai mtoto ni wangu

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mzanzibar, Aug 3, 2012.

 1. M

  Mzanzibar Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Ndugu zangu wana jf naombeni ushauri wenu,may mwaka 2008 niliingia kwenye mahusiano na binti mmoja mkazi wa iringa,ila ilipofika june tarehe za kuanzia 20 alisafiri kwenda kwao iringa ambako alienda kukaa wiki mbili, baada ya kurudi ndani ya hizo wiki mbili nilipata tetesi kuwa ni mjamzito ila nilipomuuliza alikataa katakata kuwa hakuwa na mimba,mwezi wa nane aliamua kurudi kwao iringa na nilimkatia tiketi ya kurudi kwao mimi mwenyewe kwani aliniambia anataka akaishi na familia yake,
  mwaka 2009 mwezi wa tatu tarehe kumi na moja nikapata taarifa kuwa amejifungua mtoto wa kiume,lakini hakuniambia mimi aliwambia ndugu wengine,
  mwaka huo mwezi wa 11 nilienda iringa kumuona mtoto lakini huyu binti aliniambia mtoto si wangu ni wa jamaa aliyekuwa amemuoa,akanipa na picha ya huyo jamaa aliyemuoa kuwa niangalie na nilinganishe na mtoto lakini nilipoona masikio nikahisi mtoto si wangu,
  ajabu jumapili ya wiki hii yule dada akanipigia simu kuwa mtunze mwanao usipoteze hele yako kwa malaya huku mwanao anahangaika,
  nikamwambia mbona ulisema mtoto si wangu akasema ukweli anaujua yeye ,
  jamani nifanyeje?
   
 2. Little Angel

  Little Angel JF-Expert Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  dah pole sana. mbona siku hizi ni rahisi tu. fanya DNA test
   
 3. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  achana nae yeye mwenyewe sio mkweli vitisho tuu hivyo....ngoma ikibana atakuja mwenyewe kwako ndio hapo nawe wambana aseme ukweli wa mambo....be patient
   
 4. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #4
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Huyo hajielewi, kama mtoto ni wako hakua na sababu ya kukataa toka mwanzo, it seems baba halisi wa mtoto amemkataa ndo anaamua kukubambikizia wewe. Kama unaweza kafanye DNA upate uhakika zaidi!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  mmmh, labda script aliyokuwa kaandika imepotea

  sasa anakwenda 'heregeni' tu
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Aug 3, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Ngastuka mchale kundesa!!
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Aug 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  machale yakudansi asubuhi???

  Mlipigishwa kavu wawili lol

   
 8. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #8
  Aug 3, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,049
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  it looks like jamaa aliyemtegemea kamtosa, so akili kichwani mwako
   
 9. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #9
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,317
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Mwenzangu na wewe kiyasi yakukute,yani matangazo ya condom mpaka kwenye vibajaji na condom mpaka bure unapata ulijisahau vp yakhee? Au nyama kwa nyama ntaaamu? Sasa unauziwa mbuzi kwenye gunia mara mtoto sio wako mara wako, haya mlee kitanda hakizai haramu ....
   
 10. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,747
  Likes Received: 12,841
  Trophy Points: 280
  Huyo dada ni muongo! Mwambie akupe sababu za kukataa mwanzo.
   
 11. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 155
  Trophy Points: 160
  wewe ni second choice yake yule wa kwanza ambae ni baba halali wa mtoto kamtosa
  anatafuta hifadhi kwako, angalia usije ukaingia mkenge
  ila kama una uwezo wa kumsaidia kumtunza mtoto we mtunze baadae kacheki DNA kama akizidi kungangania mwana ni wako.
  we uliangushaga tu bila kuvaa soksi au alifunga macho nawe ukaambiwa zambi zote kwako?
   
 12. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Asikuchezee akili, maji yamemfika shingoni anataka apumlie kwako
   
 13. muwanga

  muwanga Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mchukue mtoto ukapime dna
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  masikio?
   
 15. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  kweli yeye ni option ya PILI, ya kwanza ikirudi atakuacha. peleka mtoto mkapime DNA.
   
 16. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  DNA ya nini wakati masikio yameshaonyesha mtoto si wake?
   
 17. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  masikio?
   
 18. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Kumbe muonekano wa masikio pekee unaweza kufanya kazi ya DNA test? Sikulifahamu hili kabisa! :sleepy:
   
 19. M

  Mzanzibar Member

  #19
  Aug 5, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nashukuru sana jamani kwa mawazo na mchango wenu,kwani DNA inagharimu kiasi gani?
   
 20. Double K

  Double K JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 908
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  inawezekana maskio kafata upande wa mama, just to be sure akapime DNA
   
Loading...