Maumivu zaidi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maumivu zaidi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by kashata, Aug 4, 2012.

 1. kashata

  kashata JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wadau wiki 3 zilizopita niliandika uzi wangu wa NAUMIA MOYONI ambao ulikua unaelezea jinsi mchumba wangu anavyochat kupita kiasi na rafiki yake waliosoma wote chuo.Wadau maumivu yameongezeka zaidi moyoni kwani wakiwa wanachat kwa sasa wanaitana bby na i lv u kwa sana.Juzi nilifungua email ya mchumba wangu nikakuta email ya jamaa akiomba penzi it seem jamaa ameshakubaliwa coz amesema amefurahi kupokelewa ninachohisi bdo kubanjuana coz mchumba wangu yupo kwenye mfungo wa ramadhani.Wadau nifanye nn na tunaelekea kufunga ndoa miezi 3 ijayo?
   
 2. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 36,992
  Likes Received: 18,369
  Trophy Points: 280
  kashata raha yake kahawa lol
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,139
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  sasa wee mwanamme unajiita kashata? Bora hata ungejiita kahawa.

  Waache wapeane, wee ushashindwa kazi.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,139
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  unaniiga kuwaza kisu hizi?

   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 36,992
  Likes Received: 18,369
  Trophy Points: 280
  its the vice versa lol
   
 6. a

  amina ali Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  pole sana kaka inaonesha mchumba wako sio muaminifu
   
 7. kashata

  kashata JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Kwa kweli inaniuma sana nimetoka nae mbali sana uyu mtoto imefikia hatua wazazi wananiambia nitafute mwanamke mwingine nioe na harusi ni miezi 3 ijayo.Zoezi ni gumu kichwa kinauma sana
   
 8. Rogie

  Rogie JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 5,540
  Likes Received: 1,870
  Trophy Points: 280
  Sasa ugumu uko wapi? Unaoa mtu mwema au unaoa kwasababu uhusiano umetoka nao mbali.
   
 9. kalou

  kalou JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 22, 2009
  Messages: 4,206
  Likes Received: 639
  Trophy Points: 280
  kinachofuata ni "mke wangu ananisaliti ",inshort wewe unakera na huu uzi wako,..km uko serious mwambie ukweli km akiendelea achana naye,kwani lazima kuoa baada ya miezi 3,utaoa hata mwakani.
   
 10. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,043
  Likes Received: 633
  Trophy Points: 280
  achana naye fasta huyo sio wa kwako
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 40,975
  Likes Received: 8,394
  Trophy Points: 280
  Mbona una mkatisha tamaa
   
 12. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #12
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,155
  Likes Received: 2,647
  Trophy Points: 280
  kama bado anakcht wakat hamjaona bas mksha oana ndo atakuwa ana kwachia mshkaj kwa saana
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Aug 4, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 40,975
  Likes Received: 8,394
  Trophy Points: 280
  Wewe una sema yuko kwenye mfungo! Una uhakika gani ana heshimu mfungo?

  Lakini cha kufanya ni kuachana nae huyo hakufai! Umeona kwa macho yako! Stuka
   
 14. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #14
  Aug 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Duuh bro unamoyo wachuma, hivi unataka ishara gani tena kuwa huyo binti hakufai??
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,139
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  ujue hata majina haya tunayochagua yanaakisi 'personality' zetu kwa mbaaaaaaaali.

   
 16. kashata

  kashata JF-Expert Member

  #16
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Wakuu na mm nimeona basi nimemvumilia vya kutosha wacha niachie ngazi
   
 17. SnowBall

  SnowBall JF-Expert Member

  #17
  Aug 4, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 3,067
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwa nini usifuate ushauri wa wazazi wako??
  Hiyo miezi3 ndio inakuzuzua?
  Kata shauri mapema usije kujuta baadaye..
   
 18. k

  kisukari JF-Expert Member

  #18
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,477
  Likes Received: 708
  Trophy Points: 280
  pole kijana.bora uachie ngazi,hujamuoa dalili ndio hizio.ndoa ni long commitment,hata kama umetoka nae mbali,inabidi ukubali matokeo,na ni bora uachie kuliko ku share penzi
   
 19. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #19
  Aug 4, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,566
  Likes Received: 84
  Trophy Points: 145
  Shukuru Mungu umemshitukia kabla hujamuoa. Hata ukisema unapigania penzi lake utakuwa mtu wa kuumizwa kila siku.
  Ushauri wangu ni kuanza upya, huyo hata kama ukimg'ang'ania kiasi gani hadi ukamuoa bado tu atakupa mapigo makubwa zaidi.
  Talking of ma personal experience, mzee you should forget her and then move forward, never hesitate or look backwards.
  Nakuhakikishia kwamba utampata mwingine akupendae kwa dhati na aliye mwaminifu!
   
 20. BRO LEE

  BRO LEE JF-Expert Member

  #20
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 25, 2011
  Messages: 577
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Huwa napata hasira sana mwanaume anapolalamika kwa jambo ambalo lipo dhahiri, kwa nini uwe kinganganizi? Unachatakiwa katika mahusiano ni kuuteka moyo wa umpendaye, sasa we umeshindwa unalalamika maumivu, maumivu ! waachie wenye mbinu, we c unaelewa kuwa mwenye kisu kikali ndo mla nyama!

  Sasa mchumba kakubali kubanjuliwa baada ya mwezi mtukufu we bado unahitaji ushauri, kama ndo ushamwambia huwezi kuishi bila yy basi jiandae kushea na huyo jamaa.
   
Loading...