Oooh yeeeaah

Me no likey :embarrassed:

Kweli "fundi" lakini kanisani?! Mengine ni ukosefu wa heshima na ustaarabu

G huwa nasoma mambo ambayo waumini wanapenda kuyafanya kanisani kisha kuyaweka mtandaoni nikachoka mwenyewe. Kama huyo hapo juu kuna mtu alikuwa anamrekodi halafu wameamua kuitundika mtandaoni. Sasa kwa mengi niliyoyasoma hiyo video hapo juu ni cha mtoto, labda kiama ndio kinakaribia.
 
MI labda sina macho au masikio, ni kitu gani kinaprove kwamba hapo ni kanisani?
 
G huwa nasoma mambo ambayo waumini wanapenda kuyafanya kanisani kisha kuyaweka mtandaoni nikachoka mwenyewe. Kama huyo hapo juu kuna mtu alikuwa anamrekodi halafu wameamua kuitundika mtandaoni. Sasa kwa mengi niliyoyasoma hiyo video hapo juu ni cha mtoto, labda kiama ndio kinakaribia.

Eeeh! Hebu tupe dokezo ya hayo mengine watu wanayopenda kufanya kanisani!

Manake hili tu nimeachwa hoi (@-@)
 
Bongo soon utasikia 'kiduku cha Bwana ' lol
wabongo kwa kuiga
 
Back
Top Bottom