Kila nimpendae yuko kwenye relationship!!!!!

Man Ngosha

JF-Expert Member
May 2, 2012
219
69
Habari wadau!!!
Ama kweli wakati unahitaji kitu hakipatikani na wakati huitaji ndo kinapatikana kwa wingi!!!Mi nimekuwa single kwa muda wa zaidi ya miezi sita sasa,nimeamua niingie tena kwenye mahusiano mapya baada ya kutengana na girlfriend wangu wa awali,kuna binti nilitokea kumpenda sana na nikawa nae urafiki kwa muda then baada ya muda nikarusha topic yangu,akanambia tayari kuna mtu yuko nae tena akanitambulisha kwake!!kama hiyo haitoshi,kila ninaempenda na kumweleza nia yangu hali imekuwa ile ile!!naumia sana na upweke,ni wapi ninapokosea wadau,au nini tatizo?
 
Kwa nini uliachana na gf wako wa awali hujatuambia!!
Labda umrudie yeye au endelea kuvuta subira,utampata tu umpendae
 
sasa ulitaka wakukubalie tu? je wewe ungemkubalia mwanamke yoyote anayejilengesha kwako bila kuangalia vigezo na masharti hata kama uko single?
 
Haaahaaa! Wajanja wamewahi, wewe subiri kidogo wako atazaliwa tu ila uwe tayari kukuza! Kwa picha hiyo ina maana kuna mafisadi ktk mapenzi, wamehodhi na kujilimbikizia wanawake kibao wakati wenzao wanang'aa macho tu...
 
Kama unatafuta 'just mke' unaweza kuona kwamba unachelewa..
But if u really look for a wife material..please be patient..
Unless u tell me ur age otherwise i cant see as if ur late..
keep going buddy!
 
Asulo,niliachana gf wa zamani kwa sababu tulitofautiana mitizamo na tabia!!!!
 
ningekuwa natafuta just mwanamke,wala nicngekuja hapa!!wengi wamekuja but hawana sifa za wife material,mi nahitaji wife material!!am 27 now
 
Kama ulikuwa kwenye mawazo yangu The Boss.
Ni ngumu kukuta mtoto mzuri yupo yupo tu.

Jamaa inabidi ajifunze ku grab. Lol.

watu wenye best qualifications
huwa hawakosi kazi
na kazi sometimes zinawatafuta wao....

but kamaa vyeti vyako vya kuunga unga
kila ofisi utakayokwenda utaambiwa hakuna kazi...
tumeshaajiri.....

go figure out that.....
 
asante king kong,mi nina kazi japo ya kawaida tu!hapa nilipo nimekata tamaa kutongoza tena
 
patient pays mwana!after all being single doesnt mean u'r weak t meanz that ur strong enough 2 wait 4 wat u deserve.....time will tell
 
Hahahaaaaaa
nimeipenda hii....


watu wenye best qualifications
huwa hawakosi kazi
na kazi sometimes zinawatafuta wao....

but kamaa vyeti vyako vya kuunga unga
kila ofisi utakayokwenda utaambiwa hakuna kazi...
tumeshaajiri.....

go figure out that.....
 
Back
Top Bottom