tatizo langu nini jamani

omary2222

Member
Jun 18, 2012
76
24
assalam alaykum wana jf mmi ni kijana wa miaka 21 nimemaliza kidato cha nne mwaka kwa kipindi chote hicho sikwaga na bahati ya kuwavutia wasichana kwa hiyo mimi nina nini jamani na vilevile uongea sijui na ishia kutamani nisaidieni
 
Jiendeleze na masomo kwanza ndugu yangu......:baby::baby:
 
assalam alaykum wana jf mmi ni kijana wa miaka 21 nimemaliza kidato cha nne mwaka kwa kipindi chote hicho sikwaga na bahati ya kuwavutia wasichana kwa hiyo mimi nina nini jamani na vilevile uongea sijui na ishia kutamani nisaidieni

heeeeee kuongea hujui au huna swaga? nenda shule kwanza haya mambo utayakuta hayaishi.
 
kijana wasichana/wanawake hawavutiwi na wanaume na hata kama amevutiwa ni wachache watakufuata na kukuomba urafiki. Mwanaume inatakiwa utongoze unayempenda au unahisi unampenda bila kujali kama yeye amevutiwa na wewe au hapana. usiogope kukataliwa ni kitu cha kawaida hicho kwa mwanaume. tena hii age yenu vijana mna raha sana kuna facebook, simu, twiter lol nyenzo kibao za kutongozea halafu unabaki kulalamika.
 
assalam alaykum wana jf mmi ni kijana wa miaka 21 nimemaliza kidato cha nne mwaka kwa kipindi chote hicho sikwaga na bahati ya kuwavutia wasichana kwa hiyo mimi nina nini jamani na vilevile uongea sijui na ishia kutamani nisaidieni

Hapo kwenye bold ulijuaje kama haukuwa na bahati ya kuwavutia wasichana? Ulitaka wao ndo wakuanze? Uliwafuata ukapigwa kibuti? Inawezekana haujiamini na ndiyo maana umejijengea mawazo hayo uliyonayo na si kweli kwamba hauwavutii wasichana!

Pia naona kama umri wako ni mdogo, ni vyema kama ungeendelea kujifua zaidi na masomo. Jenga kujiamini na usijitoe kasoro. Pale itakapofikia na kujiona wahitaji familia, moyo wako ukimzimikia mtu, nenda kamwambie wala usiogope maana hata akikukataaa huwezi kufa wala kupungukiwa na chochote. Huna sababu ya kuwa mwoga.
 
kijana wasichana/wanawake hawavutiwi na wanaume na hata kama amevutiwa ni wachache watakufuata na kukuomba urafiki. Mwanaume inatakiwa utongoze unayempenda au unahisi unampenda bila kujali kama yeye amevutiwa na wewe au hapana. usiogope kukataliwa ni kitu cha kawaida hicho kwa mwanaume. tena hii age yenu vijana mna raha sana kuna facebook, simu, twiter lol nyenzo kibao za kutongozea halafu unabaki kulalamika.

Gamaha umezungumza nilichokuwa nafikiria. Tuko Pamoja sana.
 
kijana wasichana/wanawake hawavutiwi na wanaume na hata kama amevutiwa ni wachache watakufuata na kukuomba urafiki. Mwanaume inatakiwa utongoze unayempenda au unahisi unampenda bila kujali kama yeye amevutiwa na wewe au hapana. usiogope kukataliwa ni kitu cha kawaida hicho kwa mwanaume. tena hii age yenu vijana mna raha sana kuna facebook, simu, twiter lol nyenzo kibao za kutongozea halafu unabaki kulalamika.

Hahahahahahhh duh we kiboko!!!!!!
Huyu utoto unamsumbua kwanza anatakiwa asome.. anamaliza form 4 halafu anataka kuwavutia washichana... si ajabu hata hajabalehe!!!!!!!!!!:A S 465:
 
Aisee umeongea maneno yangu..
Very right!
 
mtoto wewe wenzako wanavutiwa na kitabu wewe unataka wavutiwe na wewe katoto kabaya haka hebu kasome huko tena toka huku hadi ukimaliza masomo next time nakuja na fimbo
 
pole sana kuwa na miaka 21 sio ujifanye mtu mzima wa kuwaza kuwavutia mademu jipage mademu watakuja wenyewe hunapesa huna elimu unawaza kuvutia mademu huon aib
 
kama ndio umemaliza 4m four, na yenyewe umepiga chini, sasa unafkr utawavutia hao mabint na kp,
huna hela, huna shule, huna swaga,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
kajipangeee, mwanaume hasifiw sura........................
 
Omary2222.............huna tatizo zaidi ya kutokujiamini.......fukuzia na hapo utajua utamu wa asali uko wapi kwani mgagaa na upwa hali wali mkavu..............
 
U kan't get a gal by being quite..,....cal her gently thn mtulize af tema madini confidently,,,,,mbona wenzio tuna chapa hadi demu za wa2 ,,,,,,jikaze mtoto wa kiume utamu utareverse bure teh tepgpg teh teh nakutania boy ipende sana elmu instead ya hzo beiby
 
hakuna binti anayeweza ku-fall kwa mwanaume suruali, jipange kielimu na kimaisha kwanza mengine yatafuata yenyewe
 
assalam alaykum wana jf mmi ni kijana wa miaka 21 nimemaliza kidato cha nne mwaka kwa kipindi chote hicho sikwaga na bahati ya kuwavutia wasichana kwa hiyo mimi nina nini jamani na vilevile uongea sijui na ishia kutamani nisaidieni

dogo piga shule kwanza hayo mengine yatanoga kama utakuwa na maisha yako yaliyo kwenye mstari ulonyooka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom