Habari zenu wana jf. Niliwahi kukumbwa na tatizo la kuumwa kiuno nikiwa mdogo nikawa sikai chin wala kusimama yan ni kulala tu 24hrs ndipo nilipochanjwa chale kuzunguka kiuno kizima. Sasa kuna...
Hey guyz whats up
Am m nko Arusha ila ninatatizo moja tu wakubwa nalo ni
Kuna bint nimempenda sana ila kumwambia hanielewi mara kasema hawezi kumsalit qliyekuwa naye ila cha kushangaza aliywkua...
Ndugu wadau wenzangu wa jukwaa kwa takribani miaka 22 niliyo nayo nimekuwa najua kuwa ni baba yangu lakini hivi karibuni mama yangu alinitobolea kwamba huyo siyo my biological father ni kama...
Habari za mapumziko wana-MMU,.
Naomba Tujadili Kwa Mapana Yake Hii Kauli Ambayo Nimekuwa Nikiiskia Mara Kwa Mara Mtu Anatokea Na Kukuambia ''You Are In Wrong Relationship Au Kwa Kiswahili ''...
Husika na kichwa cha habari hapo juu.
Huwa nashangazwa nao pale mvua inapoanza kunyesha redio zote za Dar wanapiga zile nyimbo laini za kimapenz yaan R and B na countries kusuport watu wa Bongo...
Mimi nikijana wa miaka 22 nipo kidato cha sita najitahidi kusoma sana sababu natokea ktk mazingira ya watu wa hivi hivi tatizo lililo nileta hapa mapenzi yananivulugia masomo yangu natokea...
On my labor bed I swore never ever to look at male genitals let alone touch or allow one near me. But as my son turns one year old,natamani kweli uja uzito na vituko vyake.
Long before I...
Kwa nini wanawake wengi wazuri wa sure na warembo kweli ,wenye kazi zao nzuri na wenye elimu nzuri huzalia kwa wazazi wao yaani wanazaa kabla ya ndoa na ndio hao walio wengi wanaokuwa nyumba ndogo...
Habari wana jf
siku ambayo kamwe Sitoisahau coz sikutegemea km vitu km hivyo vipo...ila yakanikuta na nikaamini watu tunatofautiana.
Ilikuwa ni siku ya jumamosi natoka zangu nyumbani kwenda...
hii ni kalibu inchi nyingi za kiafrika,hasa kusini mwa jangwa la sahara,unakuta mtu anajiapiza lazima fulani anioe, wengie wanatumia mitishamba ili waolewe, mwanaume ndiye mwenye nguvu ya kumtaka...
Poleni na msiba wa mandela wakuu,ebwana kwa kautafiti kangu kadogo nilikokafanya,nimegundua ya kwamba wadada wengi wanaomaliza vyuo vikuu hasa ngazi ya degree,huwa wanaishia kuolewa na wanaume...
Kumezuka haka katabia ka watu wenye hela au mastaa kukataa kuolewa na kuoa kwanini? mungu kakubaliki kakupa pesa kazi nzuri bado una mbwela mbwela tu bila ndoa miaka 30+,babako na mamako...
Habari zenu wanajamvi.....nnampenzi wangu tumekaa almost miaka mitatu sasa..bt hajawai kunipeleka anapoishi hta mala mja..na najua kila kitu kuhusu yeye kwamba anamtoto bt aishi naye anaishi na...
Nina rafiki yangu jmn sijui ana pepo la ngono?kila akiwa na mwanaume huyu baada ya muda anamuacha kisa eti hawezi kumridhisha!nimejaribu kumsema jamani lakini asikii mkikaa kidogo tu utasikia eti...
Wanawake jaribuni kuwa wachunguz maana wanaume walio wengi wameuona udhaifu wenu matoke yake wanafanya na kuwaachia aibu kwa ndugu, jamaa na marafiki maana wengne hufikia hata kuleta posa pamoja...
Wana jf....mi nimeoa na nina watoto wa3. Huyu binti nilimtoa kwao nikawaahidi wazazi wake kua nitamsomesha mpaka elimu yeyote. Nikafanya hivyo mpaka sasa yupo na kazi. Ila kwa bahati mbaya mimi...
Jana nilienda kupima HIV pale Angaza Mnazi MMoja. Lengo ilikuwa nijijue hali yangu kiafya ili niadhimishe siku ya ukimwi duniani "while I'm informed".
Nimengia hapo angaza saa 2 asubuhi...
Naomba tujadili pamoja hii kauli.... Kwa mimi nasema tusikashifu dini za watu, kama maandiko yanavyosema ( wewe una dini yako na mimi ninayangu, siwezi kuabudu unachokiabudu na wewe huabudu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.