Dem kanikimbia geto eti kisa nina CHALE kiunoni

faraday

Member
Nov 27, 2013
38
0
Habari zenu wana jf. Niliwahi kukumbwa na tatizo la kuumwa kiuno nikiwa mdogo nikawa sikai chin wala kusimama yan ni kulala tu 24hrs ndipo nilipochanjwa chale kuzunguka kiuno kizima. Sasa kuna mtoto hapa kitaani kwetu baada ya kumfatilia kwa muda mrefu na kumhonga honga viela vya chai chai. Kama zali juz juz hapa kanikubalia tukapanga promise. Pind tuko geto kitandani nipo kifua waz kwenye kipensi/boxer huku nikianzisha kauchokozi nikiwa na ham nae kweli yeye dem kaduwaa tuu katulia kimyaa huku akikodolea macho kiunoni mwangu.Mara gafla akavaa sketi yake, ikabidi niulize "Tatizo nini mpenz wangu" akaniambia tatizo umenichanjia chale unataka unigegede mpaka unikomeshe??. nikamuhadisia tatizo lote na Nikambembeleza sana akakataa, mzee wa kazi "lombo'' tayar ashasimama ikabid nitumie nguvu. heee!! akafanikiwa kunichomoka c ndo akakimbia mbio kali sana tena peku huku kashikilia sket yake. wala hata sikuamin macho yangu. nikawa nimekosa mzigo. JAMANI WANA jf NISAIDIENI NAMNA YA KUFUTA CHALE MWILINI.
 

Ennie

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
7,140
2,000
Haha haaaaaa! Pole.
Bint akajua umechanjia bwana,zimemuokoa mbio!!!!
Sijui kama kuna dawa ya kufuta chale,wajuzi watakuja ila acha papara,bint umfahamu vizuri naye akufahamu na hizo vitu ambazo lazima atakutana nazo angekuwa amepata story yake mapema na akaridhia wala usingepata aibu ya kukimbiwa.
 

miss chagga

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
57,913
2,000
we ulijua unatatizo hilo ungevulia nguo ndani ya shuka au bafuni ujifanye uanaibu............ we futa hizo chale urudi tena kulala tu utakoma uene kuchanjwa za ukubwani utajuta
 

missa

JF-Expert Member
May 24, 2012
363
0
du!pole sana,hata hospital naskia huwaga wanazo dawa za kufuta makovu,japo wanasemaga ni ghali sana,jaribu kuulizia huko pia.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom