Hii ndo sifa kubwa ya Mwanaume......!!!


A

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Messages
1,710
Likes
282
Points
180
A

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2013
1,710 282 180
Habari zenu wana MMU
kuna sifa zaidi ya kupaform kisawasawa kwa bed?
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,062
Likes
8,291
Points
280
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,062 8,291 280
Kuperform hata vile vibomba vya kina Little Angel vinaperform ishu mwanaume unaingiza sh?
Habari zenu wana MMU
kuna sifa zaidi ya kupaform kisawasawa kwa bed?
 
Last edited by a moderator:
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Messages
694
Likes
8
Points
0
Baraka Roman

Baraka Roman

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2013
694 8 0
Ipo kula

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2011
Messages
7,142
Likes
63
Points
145
Ennie

Ennie

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2011
7,142 63 145
kutunza mkeo na watoto wako na mama yako na dada zako

wasije kuomba omba au kudhalilishwa na wewe upo...

hiyo ndo first ....
Kuna comments ukisoma tu unajua aliyeitoa ni matured na responsible.
Kuna mtu amelalama earlier kuwa mkewe kwao wana njaa,ni matusi makubwa kama hiyo familia ina watoto wa kiume.
 
S

Switone

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Messages
121
Likes
1
Points
0
S

Switone

Senior Member
Joined May 9, 2013
121 1 0
kutunza mkeo na watoto wako na mama yako na dada zako

wasije kuomba omba au kudhalilishwa na wewe upo...

hiyo ndo first ....
Well said,Wenye akil finyu wanaona kutembea na kila mwanamke ndo sifa yey kidume kumbe anapotea.Na wanajua sana kupamba kuwa hamna kidume kama wew kumbe anakuona wakuja tu
 
K

KipimaPembe

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2007
Messages
1,284
Likes
69
Points
145
K

KipimaPembe

JF-Expert Member
Joined Aug 5, 2007
1,284 69 145
Habari zenu wana MMU
kuna sifa zaidi ya kupaform kisawasawa kwa bed?
Usidhani wanawake wanaendeshwa na nyege. Kwenye vitu vya muhimu katika mahusiano kwa wanawake hilo laweza kuwa la mwisho au karibu kabisa na la mwisho. Kujua hilo ni msingi utakaokusaidia katika mahusiano yako na wanawake.
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
19,247
Likes
26,195
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
19,247 26,195 280
Habari zenu wana MMU
kuna sifa zaidi ya kupaform kisawasawa kwa bed?
Enzi za mwalimu, palikua na misemo kama:- mtunze mkeo, hakikisha unatimiza majukumu kama baba, mwanamke hapigwi na kadhalika.
Haya maneno yalikua na maana kubwa sana.
Mwanaume iliawe kamilifu, lazima ampende mkewe na familia (MAPENZI), mwanaume lazima afanye kazi kwa bidii (PESA) kwaajili ya kumtunza mkewe na familia kwa ujumla na lazima mwanaume awajibike kitandani (MAKATIKO) kama ipaswavyo.
 
MWAMUNU

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Messages
661
Likes
14
Points
35
MWAMUNU

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2011
661 14 35
Huyo ndo anaitwa Baba mwenye nyumba !!!
 

Forum statistics

Threads 1,252,211
Members 482,048
Posts 29,800,630