Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Rejea mada hii hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/412113-alidhamiria-kunichoma-kisu-kama-sikukwepa-leo-hii-mimi-ni-ningekuwa-marehemu.html Naendelea kumzungumzia...
0 Reactions
30 Replies
6K Views
hellow wadau wa JF...naomba mnisaidie mawazo,ni kweli kuna degree za mambo ya hair and beauty? kama ipo inapatikana katika vyuo vipi,naomba mawazo yenu tafadhali..........
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wana MMU hope mmekuwa na siku njema! Thanks to God hata mimi niko vizuri. Kuna kitu kimenishtua sana leo jioni. Na hapa bado nina mawazo kibao, kama hii ni suprize ama nadanganywa tu, ni hivi...
2 Reactions
67 Replies
7K Views
Jamani mwenzenu nipo mbali kidogo na my wife mimi nipo masomoni yeye yupo mkoa mwingine kikazi, huyu my wife kanionea tu roho mbaya hataki nicheze mechi za ugenini kwa nimejaribu kwa wanawake kama...
7 Reactions
147 Replies
14K Views
Nahisi kuna mahali tunakosea. Hii kusema mambo ya mapenzi yasifundishwe shuleni tunakosea. Matatizo yanayotokea siku hizi katika mahusiano sio ya kupuuzia. Kama tunafundishana biashara, kilimo...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
How u doing fellas! First and far most I have been telling myself I should wait for the right time for so long and all I can see everyday is am not ready yet. I am now convinced that there will...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Wapitaji wanadai eti malumbano ya wana chadema wenyewe ndo matunda ya ofisi kuchomwa,tena baada ya kuanza kutuhumiana wenyewe ndani ya chama hicho ambacho wengi tunategemea ukombozi au mabadiliko...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimeoa mwaka huu. Ndugu wa mke wananjaa sana halafu uelewa wao katika maisha mdogo sana, kila tatizo wakipata kimbilio kwangu, na mimi maisha yamenibana sana siwezi kuwalea. Mke wangu hadi...
2 Reactions
54 Replies
5K Views
Imetokea roho yangu kuvutika sana kwa huyu dada, usiku kucha wakati mwingine hua nakesha namuwaza. Ivi hili ni tatizo la kumpenda huyu mtu linaweza kua limesababishwa na nini ?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
mwalimu na maadili 1.unakuta mwalimu wa primary anagegedwa na jamaa labda wa form 3 ama 4 ama 5. 2.mwalimu wa sekondary anajikabidhi kwa denti hata wa o level hasa hivi viticha vidogovidogo vya...
1 Reactions
44 Replies
10K Views
hizi ndio kauli za wapenzi wengi wa kibongo, unakumbuka au unajilaumu katika maisha yako,umeyafanya haya mara ngapi? Unatumia mpira leo baada ya mwezi unaacha eti mmezoeana.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
mm ni mwanaume miaka 32, elimu ya chuo, nina mtoto mmoja, kwa umbo ni mnene wastani kimo cm 154, ni mweusi kisura. natafuta mke umri miaka 23-31 dini yoyote, elimu kuanzia kidato cha nn, awe na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kunamtu ni rafikiyangu facebook, nakumbuka yy ndo alinitumia friend request, nilimuad coz alikuwa na urafiki na watu ambao nnawafaham, kaanzisha mazoea na anaomba namba yangu ya simu, kabla ya...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Habari zenu wana-MMU,. Kwanza kabla ya yote nielekeze pongezi zangu za dhati kwa wale wote waliojitolea muda na akili zao katika kunishauri katika uzi wangu niliouleta hapa jamvini siku chache...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari yenu wakuu????? Leo nimeamua kulizungumzia kabila la kimakonde, ktk uchunguzi nilioufanya kutokana historia ya sehemu nilizoishi inaonekana wazi kuwa unapotaka kuoa ama kuolewa na mmakonde...
1 Reactions
42 Replies
8K Views
1. Ataolewa na Rais Mwingine. 2. Atarudi msumbiji kuishi maisha ya ujane. 3. Ataendelea kuishi SA.
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Katika mazungumzo mengi tumezoea kuwasikia akina "mama wa nyumbani", huwa tunasahau kuwa pia wapo "baba wa nyumbani". Hebu angalia adha hizi anazopata baba wa nyumbani halafu utoe mawazo yako kama...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Wanajamvi heshima mbele !! Nimeona huu uzi niulete huku tuujadili kwani huku wanapita wadau wengi zaidi. Katika pitapita kule jukwaa la tech gadgets nimekutana na mdau mmoja ambae katokea...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
wana mmu! bila shaka mu wazima wa afya! suala hapo juu limekuwa likinisumbua sana! tuwaache wale walioko kwenye ndoa, tujadiliane sisi ambao ni bachelors kwanza japo na wao wachangie kwa sababu...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Wadau, Ni tatizo la watu wengi hasa vijana wa kiume kudai wanashindwa kuoa kisa hawajajipanga kimaisha. Utakuta mtu anakaa loooooong time huku anagegeda bila utaratibu au ana muaminisha mdada...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom