Watangazaji/redio presenters wanasuport ngono. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watangazaji/redio presenters wanasuport ngono.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Billie, Mar 1, 2012.

 1. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #1
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,335
  Likes Received: 2,341
  Trophy Points: 280
  Husika na kichwa cha habari hapo juu.
  Huwa nashangazwa nao pale mvua inapoanza kunyesha redio zote za Dar wanapiga zile nyimbo laini za kimapenz yaan R and B na countries kusuport watu wa Bongo waunganishe vikojolea comfortably.NYIE HAMJALISHITUKIA HILI SWALA?.(Tehe tehe kweli ukiwa great thinker raha)
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Mar 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  utakuwa na hamu ya kungonoka tu mkuu usisingizie uGT
   
 3. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #3
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,335
  Likes Received: 2,341
  Trophy Points: 280
  Hapa nilipo nipo mzigoni ila ili swala lina ukweli ndani yake maana hali ya hewa ya ka ubaridi inatokea kwa nadra sana thats why wana respond nayo kuuonesha wanawajali wasikilizaji wao.
   
 4. korino

  korino JF-Expert Member

  #4
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 492
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  kweli kabisa!
   
 5. K

  Kiduku JF-Expert Member

  #5
  Mar 1, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna ka ukweli ndani yake

  hasa hii ya kiuswaziuswazi magic fm

  na nyingine kama hiyo
   
 6. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #6
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,335
  Likes Received: 2,341
  Trophy Points: 280
  Yaani unaweza kuwa unasikiliza program fulan mvua ikianza tu ghafla wanabadilisha zinaanza nyimbo za taratibu.
   
 7. OLESAIDIMU

  OLESAIDIMU JF-Expert Member

  #7
  Mar 1, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 19,193
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Pavlov na mbwa wake
   
 8. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #8
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Nafikiri wao pia ni binadamu wa kawaida na wanaendeshwa na hisia ambazo zinawaendesha watu wote. Tofauti ni kwamba wao wana access na public pindi wanapotoa mawazo yao.
  hivyo, kwa kifupi ni kuwa huo ni mtazamo wa baadhi ya watangazaji na wala si wa watangazaji wote. Wapo wengine ambao hawapendi kuendeshwa na hisia za namna hii na hupenda kuzungumzia yale mambo ambayo kimsingi, huchangia kutatua matatizo yanayoikabili jamii.
   
 9. Billie

  Billie JF-Expert Member

  #9
  Mar 1, 2012
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 5,335
  Likes Received: 2,341
  Trophy Points: 280
  Asante kaka Horse power kwa mchanganuo wako mzuri.
   
 10. Excel

  Excel JF-Expert Member

  #10
  Dec 9, 2013
  Joined: Jul 8, 2011
  Messages: 18,888
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  ngoja nijaribu kusikiliza redio maria wakati wa mvua! mmh!
   
 11. Me370

  Me370 JF-Expert Member

  #11
  Dec 10, 2013
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 995
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Ila hizi mvua nazo zinaleta raha sana haswa unapompata demu mwenye mwili wamotooo waweza acha mshahara wako woteee kwa kubembeleza penzi.
   
 12. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #12
  Dec 10, 2013
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Najuuuuta
   
 13. Daud omar

  Daud omar JF-Expert Member

  #13
  Dec 10, 2013
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,467
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Kwani huwa wanawashika vikojoleo vyenu??
   
 14. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #14
  Dec 10, 2013
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,407
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Wengien nyie haijalishi mko wapi... Muda wote ni wa genye tu kwenu
   
 15. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #15
  Dec 10, 2013
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Usishangae ndivyo walivyoagizwa.Si
  unajua redio hizo ni za akina
  nani,Freemasons!Nia,watu wafe na ukimwi na mamuasi Mungu.
   
Loading...