Msaada

deprettyn

Member
Dec 7, 2013
10
0
Habari zenu wanajamvi.....nnampenzi wangu tumekaa almost miaka mitatu sasa..bt hajawai kunipeleka anapoishi hta mala mja..na najua kila kitu kuhusu yeye kwamba anamtoto bt aishi naye anaishi na mama yake..!!na nnapojalibu kumuuliza lini atanipeleka kwake ananijibu "ipo cku utapafahmu coz pale kwako"na anambia ananipenda kwa dhati....!!!ila najiuliza ni kweli ananipenda na anamalengo na mimi kweli na kama kweli ananipenda y ataki nipafahmu anapoishi na kila day kunipiga kalenda....!!Naomba ushauli wenu...(natumai majibu bt c kejeli)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom