Tabia ya umalaya wa rafiki yangu inanikera!!!

shubilla

Member
Mar 28, 2013
21
0
Nina rafiki yangu jmn sijui ana pepo la ngono?kila akiwa na mwanaume huyu baada ya muda anamuacha kisa eti hawezi kumridhisha!nimejaribu kumsema jamani lakini asikii mkikaa kidogo tu utasikia eti yule mwanaume nimemuacha kwakuwa hajui kunifikisha,,,,sasa huwa najiuliza hivi yy huko kwake kumeumbwaje mpaka asiweze kuridhika na wanaume wote hao wanaompitia jamani?!!!!haya maajabu kwa kweli mwenyewe haoni karaha kubadilibadili kila muda wakati mwingine nafikiria labda anajiendekeza kwa kweli.
 
Don Mangi

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,200
1,250
Mkiwa marafiki lazma kuna kitu common kinachowafanya muwe pamoja. Zingatia core bussiness yenu. Muambie hutaki kushare relationship issues na yeye ili asikukere. Otherwise jikubali na ishi maisha yako. Papuchi yake mwenyewe, unakerekwa na nini?
one million dollar advice ex kidumu...halaf nimekumisiijeee...si unajua msimu huu wa mvua...
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
36,227
2,000
Kama tatizo kuridhishwa mwambie ani-PM.
«««««««««««»»»»»»»»»»»
For Promotional Use Only.
 
Misa

JF-Expert Member
Jul 5, 2013
839
195
Nina rafiki yangu jmn sijui ana pepo la ngono?kila akiwa na mwanaume huyu baada ya muda anamuacha kisa eti hawezi kumridhisha!nimejaribu kumsema jamani lakini asikii mkikaa kidogo tu utasikia eti yule mwanaume nimemuacha kwakuwa hajui kunifikisha,,,,sasa huwa najiuliza hivi yy huko kwake kumeumbwaje mpaka asiweze kuridhika na wanaume wote hao wanaompitia jamani?!!!!haya maajabu kwa kweli mwenyewe haoni karaha kubadilibadili kila muda wakati mwingine nafikiria labda anajiendekeza kwa kweli.
muelekeze kwangu atatulia tu
 
Parata

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
3,096
1,225
Huyo dawa yake ni mimi embu ntafte faster apate tiba haraka lasivyo utapoteza rafiki.
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
41,566
2,000
Nina rafiki yangu jmn sijui ana pepo la ngono?kila akiwa na mwanaume huyu baada ya muda anamuacha kisa eti hawezi kumridhisha!nimejaribu kumsema jamani lakini asikii mkikaa kidogo tu utasikia eti yule mwanaume nimemuacha kwakuwa hajui kunifikisha,,,,sasa huwa najiuliza hivi yy huko kwake kumeumbwaje mpaka asiweze kuridhika na wanaume wote hao wanaompitia jamani?!!!!haya maajabu kwa kweli mwenyewe haoni karaha kubadilibadili kila muda wakati mwingine nafikiria labda anajiendekeza kwa kweli.

wapo watu wana special cases za kimaumbile
so huwezi kumlaumu

halafu kama ana waacha na sio kuwakusanya kwa pamoja
sioni tatizo hapo....bado anatafuta size yake
akimpata atatulia.....angekuwa anao wengi kwa wakati mmoja hapo sawa ingekuwa tatizo

au wewe una wivu nae? we unatongozwa kama yeye?
 
neggirl

JF-Expert Member
Jul 30, 2009
4,838

wivu nae tena.. tehe!
 
Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
Duh!
Nakuonea huruma sana!
...
Nilijua sometimes anakuazima hela and/or papuchi yako! Kumbe anatoa vya kwake!!!
...
Kuishi na watu inakupasa uwe mvumilivu, otherwise utapata shida sana!
...
Myself, nilikua nadelete rafiki ambae anasifa mbaya na kunikera! But later on nikajiuliza nitadelete rafiki wangapi?!!
Moreover nikagundua mwenyewe sipo complete!
...
Rafiki wa kumkwepa ni yule tu anaekuathiri direct! But mtu kuwa na majanga yake tu, hata hanikoseshi usingizi!
...
What you ought to do ni kumkumbusha tu kuwa anavyofanya sio vizuri kwa faida yake.
Kama haskii unamuacha kama alivyo, unaendelea na bussines zako bila kuvunja urafiki!
..
Not only Prophets have failed to regulates the conducts of their community but also governments fails to do so!
Utaweza wewe????
...
Sipati picha kama hata hapa MMU ningekua na rafiki wangapi if ningekua na mtazamo kama wakwako!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom