Ktk maisha mapenzi hayaepukiki (jua hlo)
Hivyo basi kuna msichana nmetokea kumpenda sana kimapenzi, nilimwambia kwa jinsi ninavyompenda alikubali kupokea upendo wangu ila tatizo sasa huwa...
wana JF Nilikuwa naangalia kipindi cha ITV Jumapili(08.12.2013) kilichokuwa kinarushwa live pale ukumbi wa NKURUMAH-Mada ikiwa RASILIMALI ZA TAIFA LETU NA HATMA YA MTANZANIA KUZIMILIKI.Kipindi...
Kuishi kwingi kuona mengi!
Jana mama watoto aliniacha kwa dk 30 dukani kwake baadaya kujisikia vibaya!
Wakati namsubiri dada aje aendelee na kazi pale dukani!
Aliingia dada wa makamo kama miaka 40...
Saalam wakuu.
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifikisha pale nilipokuwa napatumania kwa mda mrefu!!
Nachukua nafasi hii kuwakaribisheni nyote wana jukwaa hili pamoja na uongozi...
Wakuu, misianzi na maelezo meengi. Naamini muwazima.
Kuna dada moja naomba nimpe jina Qeen, huyumdada tulikua wapenzi kuanzia 2007 na pia tulikua tunafanyakazi wote kampuni moja. 2009 may...
Mshikaji mmoja mwenye jina hilo amekamatwa kwa kubaka kuku na kuisababishia maumivu makali. Jamani hivi mademu wamekwisha. Huyu jamaa lazima apimwe akili.
Source TBC1: gazeti la jambo leo
habari za siku wanajamii forum wenzangu,mimi ni mwanamke niliyedumu kwenye ndoa kwa muda wa miaka 9 mpaka sasa,imetokea kuona mesage kwenye simu ya mume wangu zikiwa zimeandikwa kwenda kwa mdada...
Hapo zamani ilikuwa ni vigumu kuona maungo ya mwanamke hadharani au chupi, shanga. Hii ilifanya pia wanaume kuona kama kitu adimu. Lakini sasa hivi wanaume tumezoe kuona maungo ya wanawake na...
Namwomba mola anisaidie niweze kuishinda mitihani hii. Kwa mara ya kwanza ktk maisha yangu nimegonganisha wasichana. Nina girlfriend ana wivu sana. nampenda sana,huwa sipendi nimuudhi ingawa yeye...
Habari wa jf.?
Mimi ni mkazi wa mbinga /mkoani ruvuma kijiji cha kilimani, kwa sasa nipo mwanza kwa takribani mwaka mmoja sasa,najishughulisha na biashara ya mkaa.
Kwa muda nilio kaa...
So this is about theme songs that in one way or another describe, fit, or suit a JF MMU member. Of course, it is purely based on imagination due to the online persona that that individual...
Nimekuwa nikiona watu wengi hasa hapa tz ambao uhalisia unaonesha wanafanya madudu but ni wabishi na wakali sana.Mfano hai hata kwenye ngazi ya familia,mtu anapretend anajua kila kitu wakati huo...
Jamani hii imenikuta mimi mwenyewe last week nikiwa nasimamia arusi ya jamaa mmoja ambaye mkewe ni rafiki sana na mke wangu na wamesoma pamoja.
Arusi imefanyika katika ukumbi mmoja Sinza na mimi...
Valuable is Covered
Aisha (radi Allahu anha) narrated: "Asma (radi Allahu anha) came to see the Messenger of Allah (sal Allahu alaihi wa sallam). She was wearing a thin dress.
The...
Habari zenu wanajamvi....Nnampenzi wangu almost 3yrs tangu tuwepamoja..bt hajawai kunipeleka anapoishi hata mara mja na nnapomuuliza ananijibu kuwa"pale ni kwako na ipo cku utaenda na kufulahia na...
Wakuu,kwema lakin...happy independence day
Em baelezee umati wa MMU ulichojifunza na namna maisha yako yalivobadilika (japo kw summary) baada ya kutendwa,kuachwa na kadhalika ili mradi tu ilikuwa...
Ni pale mwanaume anapoonyesha tamaa kubwa ya ngono na kulazimisha kukutana kimwili wakati mwanamke aliweka msimamo wa kutokutana kimwili na mwanaume yeyote mpaka baada ya muda fulani tangu...
- SHOCKING SHOPPING: Man Jumps To His Death After Girlfriend Insists On Buying More Shoes
China A man jumped to his death after a furious row with his girlfriend who insisted they go into...
kwanza kabisa naomba nitoe shukran zangu za dhati kwa wadau waliochukua muda wao na kunishaurii nini nifanye baada ya tukio la jana kwa kweli mlinipa ujasiri mkubwa. ahsanteni sana na mungu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.