Kwa wale ambao walisoma mkasa wa baa maarufu iliyoko Temeke Wailes iitwayo Junction Pub au Makalio Bar kama inavyofahamika na wengi, hii ni sehemu ya pili ya vituko vya baa hiyo.
Wiki hii...
Habari za asubuhi great thinkers, nisaidieni kwa ushauri wenu kwa huyu rafiki yangu maana naona anaelekea shimoni na jini mauti anamsumbua.
Alikuwa anafanya kazi shirika moja hapa mjini na kwa...
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikipita katika baadhi ya maeneo, na kukuta wanawake wanaouza miili yao katika vyumba vyao. Biashara hii maarufu imeanza siku nyingi, na hakuna jitihada zozote...
Katika kazii?
Wafanya biasharaa wadogo wadogo
Muuzaa kaahawa
Muzaa matunda
Muuzaa sigara
Muuzaa chips
Kinyozi
Mshona viatu
Mpaka rangi kucha
Kazii ndogo ndogo nyinginee nyingi tu sijaamalizia...
nimeshangaa sana ndugu yangu yaani kaka yangu kaachana na demu wake tena siku wanaachana huyo demu ndo alikuwa anasisitiza hamtaki bro tena, basi kaka akasema isiwe taabu wakapigana chini japo...
Nipo nae yapata 2yrs na miez kadhaa, huyu binadamu ameoa na anawatoto wa 2, tumefanya vitu vingi vya maendeleo ikiwa ni pamoja na kufungua kampuni na baadhi ya miradi mingine midogo midogo...
Tanzania tuna makabila mengi na kila kabila lina mafunzo na tabia yake zake katika swala zima la mapenzi.Je ni wanawake wa kabila gani ni mafundi hodari wawapo ktk uwanja wa seremala?.
Taking a girl's virginity is a popular male fantasy, but if they stopped to consider the reality of the situation, the fantasy might start to look more like a nightmare. It may be an ego boost...
Wote tunajua wazi kuwa kipya ni kipya tu na kina thamani yake
Wengi wetu hatuna uwezo wa kununua magari mapya lakini tuna uwezo wa kununua yaliyotumika hasa kutoka nje ya nchi
Mara nyingi...
AMA kweli haki hakuna. Katika hali ya kusikitisha, kijana mmoja Elias John, mkazi wa Kigamboni jijini Dar ( 28 ) amejikuta katika wakati mgumu wa kupofuka baada ya...
Walioko kwenye ndoa nisaidie katika hili,Najua shida hazivumiliki lakini kitendo cha kipato kususua sua japo kwa siku 10 kinaweza kumfanya mke afungashe vilago au kuachika,kwa nini?
zamani mama...
TAZAMA KWA UMAKINI HIZI PICHA HAPO CHINI, ALAFU TILILIKA
1. Watch him closely to see how he relates..
2. Make sure to read his every move..
3. Sound your warning and leave him and the enemy...
Hii ni kwa wanawake wote wanaoitwa wanawake.hivi huwa hamuwezi kun'gamua wanaume tunapowadanganya,unakuta mwanamke anakusimulia mwanaume fulani kaniambia hivihivi na hivi. wakati hata mtoto mdogo...
Huyu demu hafai kabisa, yuko hapa mjini anafanya kazi kwenye kampuni ya usafirishaji. Tulikutana kwenye Hoteli fulani sisi tukiwa tunapata kinywaji tulikuwa wawili tunakunywa castle lite za...
Tuko kwenye kipindi cha maombolezo ya kuondokewa na jabali la Afrika na Dunia kwaujumla, mzee Mandela ambaye amefanya mengi ya kutukuka na anastahili yote mwema anayostahili
Kila mahali sasaivi...
Ni halali kwa wanawake kuwachukulia wapenzi wao kama waume wa ndoa ilihali hata uchumba bado? Nimeshuhudia marafiki zangu wawili waliokuwa na tabia hiyo na walipoachika wakakata tamaa utadhani...
Mambo,
Napenda kufahamu zaidi kuhusu members wa Jamii Forums ambao wapo kwenye ndoa. Kama upo kwenye ndoa, tunaitaji kujua vitu hivi
-Wapi ulikutana na mume wako au mke wako
-Nini kilikuvutia...
1.Kabla sijampata nilimwonyesha kiwanja cha kaka yangu nikamdanganya changu
2.Nilimdanganya mshahara anao upata yeye mimi napokea mara mbili yake ukweli napokea nusu ya mshahara anayelipwa yeye...