Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri nikasema ni vzr nilifikishe hapa mezani wanaJF walichambue!
Huyu mshkaji ni mwalimu wa chuo Kikuu fulani ana Masters yake nzuri tu! ila ni yanki tu hata 30yrs...
Kimaumbile inaelezwa kwamba, mwanaume hahusishi tendo la kujamiiana na kumpenda mwanamke. Kwa mwanaume, kupenda ni jambo moja na tendo la kujamiiana ni jambo lingine. Hii ni tofauti na wanawake...
1. Umepatwa na ugonjwa wa zinaa, unaulizwa ilikuwaje umeukwaa wakati ulionekana ukinunua kondom??? Jibu,..... Kondom ilipasuka, (moyoni unajua fika kuwa kondom uliisunda chini ya mto)
2. Umempa...
Katika pitapita yangu nimegundua kuwa wanawake/wasichana hawajui vizuri mzunguko wa hedhi zao, na hii inapelekea kuwa na hofu ya mimba kila wakati na pengine kupata mimba. Inafika kipindi nawapa...
Ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya na mnaendelea vema na majukumu yenu ya kila siku.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Nimeamua kuwa na aina tofauti ya kufunga na kuanza mwaka...
Kama kuna kitu ambacho huwa napata tabu kukielewa ni hiki cha mtu kumrudia X wake hasa baada ya kumuacha kwa vituko vya kila aina.
Kuna kesi moja ilitokea kati ya binti na jamaa yake. Walikuwa...
What was meant to be a moment
of joy for a bride in Wante Village
in Mayuge District (about 125km
southeast of Kampala) turned into
sorrow after her groom arrived on
a boda boda (motorcycle)...
Kwa wale wanao kumbuka Garage party party one, watakuwa walifurahi sana kwa nondo zangu za ukweli na zisizo na chembe ya shaka. Leo vijana nakuja na hili,
Seriously, Usioe mwanamke ambaye...
Waungwana khali zenu,
Leo nakuja na maada ambayo inaigusa jamii hasa ya waliokwenye mahusiano
(kwa maana ya mapenzi) mjadala huu umetawala hisia za wengi na hata Toleo la juzi la RAIA Mwema Toleo...
Habari za ijumaa?
Inawezekana kwa kijana wa kike au wa kiume kuwa na rafiki aliyekuzidi sana umri?,kwa mfano wewe una miaka 15 halafu rafiki yako let's say ana miaka 28,is it...
Katika kipindi nilichokuwa nasoma O-level katika shule fulani hv mkoani Iringa nilibahatika kusoma na binti fulani hv, ki ukweli alikuwa mzuri wa sura na tabia, nilitokea kuvutiwa naye na mara...
Jamani Jamani, dunia imekwisha,
Shemeji yangu (ndugu yake na mume wangu) ameoa mwishoni mwa mwezi April mwaka huu wa 2013 na harusi yenyewe ilifana sana...ilikuwa harusi ya kukata na shoka(naweza...
Inakuwaje watu wenye akili zao wafikirie kila unapomkuta mwanamke na mwanamume faragha eti wanazungumzia mambo ya kuzaa tu,au eti ukiweka miadi na mwanamke mkutane sehemu fulani ni kwa ajili ya...
Nimekua nikiona wanawake kwenye movies ambao wamo kwenye usiano na wanawake wenzao na hawaonyeshi kama kunakutegemea support ya kimatumizi kutoka kwa mwenza wake zaidi ni wivu ndo huonekana zaidi...
Vijana walio wengi wanaotarajia kuoa nchini ghana wamekumbwa na mfadhaiko na wengi wao kukata tamaa ya kuingia kwenye ndoa kutokana na gharama wanazotakiwa kugharamika kama sehemu ya mahari...
Kwenye mitandao ya kuchat kama Badoo, Hi5 au Twoo kuna mdada mmoja anajiita Sabrina. Yeye anadai ni mwenyeji wa Kondoa. Huwa anatoa namba yake ya simu kwa kila anayechat naye. Lakini anaomba...
Men are just like cats. Sounds a little weird, but hear me out! Ever see a cat chase after a toy that is just sitting there? I certainly havent. However, when its dangled in front of them, but...
Habari wadau..
Hili ndilo swali linalosumbua vijana wengi sana Duniani nikiwemo mimi..
Kama akili yako hili swali linazunguka sana na limekugusa na wewe kila kukicha unajiuliza hili swali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.