Wanawake wengi hawajui menstrual cycle inafanyaje kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanawake wengi hawajui menstrual cycle inafanyaje kazi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Raia Fulani, Jun 14, 2009.

 1. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Katika pitapita yangu nimegundua kuwa wanawake/wasichana hawajui vizuri mzunguko wa hedhi zao, na hii inapelekea kuwa na hofu ya mimba kila wakati na pengine kupata mimba. Inafika kipindi nawapa lekcha hadi wanakubali kana kwamba utadhani mi ndio ninayo hiyo period. Nafikiri kuwe na kampeni ya kitaifa kuwaamsha mabinti kujua mizunguko yao na si kutumia haya madawa ambayo mwisho wa siku ni masaratani tu, tena ya kizazi
   
 2. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,790
  Likes Received: 6,303
  Trophy Points: 280
  Mkuu, shukrani kwa taarifa.

  Inawezeka sana katika hao 'wanawake wengi' na wa hapa JF hawajui vizuri mambo hayo. Unaonaje ukiweka hiyo 'lekcha' yako hapa kwa faida ya wote (na wanaume pia)?.

  Ila nakumbuka jambo hili liliwahi kujadiliwa vizuri sana na Kunguru mweupe....
   
 3. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sikupata fursa ya kuona hiyo mada. ilikuwa wakati gani?
   
 4. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,790
  Likes Received: 6,303
  Trophy Points: 280
  Mada ilikuwa inasomeka hivi: ''Tarehe 13 & 14 ndo mimba inaweza kutungwa....'' Ipo JF Doctor.

  Kuna maswali kadhaa hayakupata majibu ya kutosha.

  So, unaweza kumwaga desa hapa na watu watapata fursa ya kuuliza yale maswali yaliyokosa majibu fasaha

  Karibu mkuu.....
   
 5. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hiyo nimeiona, ila wanasema aliyepost alikosea kuandika kichwa cha habari. Mi nimechepuka zaid kutaka hili suala liwe ni kampeni kama kampeni nyingine za kitaifa. Suala la unyeti lisiwe tatizo kwani kuna kampeni dhidi ya saratani za kizazi.

  Hiyo lekcha haikuwa big deal sana kwani suala ni kujua tu kwamba mimba muda wake wa kuingia ni masaa 24 au 72 katika mzunguko mzima. Sasa wengi wao wanadhani kuwa akimaliza hedhi tu ndio mlango wa kizazi uko wazi na mayai yapo tayari kupokea mbegu. Wanasubiri siku 14 ziishe ndio wanadhani ni siku salama. Tatizo liko hapo
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  TAHADHARI:
  Mziwanda nakupongeza kwa kuwa mstari wa mbele kuzungumzia masuala ya uzazi na pengine hata mjadala utaingiza masuala ya haki/afya ya uzazi na kujamiiana ( reproductive and sexual health and Rights)
  Naomba kutoa angalizo kuwa mzunguko wa wanawake hauko uniform kwa wanawake wote na pia siyo kila mwanamke amejaaliwa kuweza kujisoma, kujielewa na kufaidika na mzunguko huo kupanga uzazi.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  nilijua umepumzika weekend. Nimekupata ila pamoja na hayo, inabidi waweze kucope na hayo mabadiliko. Mtu akishajua hizo patterns atajua namna ya kujikabili. Mtu keshapata periods zaidi ya 20 lazima atajua nini cha kufanya
   
 8. K

  KAPECHA Member

  #8
  Jun 14, 2009
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kanisa katoliki huwa linaaandaa semina maalumu kwa ajili ya wachumba kabla ya kufunga ndoa na moja wapo ya mada ni siku gani na wakati gani mwanamke anaweza kupata mimba. as Dr shayo ambavyo anachambua na kutaja majina ya via vya uzazi bila kificho.

  nilirudi kwenye mada

  wanawake wapo katika siku au mzungunguko ufuatao

  1: siku 21

  2: siku 28

  3: siku 30

  4: siku 34

  5: na kuendelea kuna wengine wanaenda kila baada ya siku arobaini na wengine wanaenda kila baada ya siku kumi na nane na kadhalika

  hivyo basi kila mwanamke ana jinsi yake ya kupata mimba

  1: MWENYE SIKU 21

  JINSI YA KUHESABU HAPA NI KWAMBA : yai huchukua siku kumi na nne kutoka mara baada ya kukosa virutubisho. hivyo hesabu kuanzia siku ya kwanza aliyoanza kubleed mpaka siku ya 6,7,8

  hivyo basi kwa mwanamke huyu siku za kupata mimba ni siku ya 6, 7 na 8 ukikosa hapo ndo basi hadi usubili mwezi mwingine


  2: MWENYE SIKU 28

  hesabu kuanzia siku aliyoanza kubleed na ukifika siku ya 13,14, 15 hizi ndio siku zake za kupata mimba.


  3: MWENYE SIKU 30

  SIKU ZAKE NI 15,16, NA 17


  NI MIMI

  NZI MCHANA USIKU MBU HAKUNA KULALA
   
 9. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sasa mzee wa hakuna kulala, hii elimu ndio inabidi kuwafika mabinti huko mitaani kwani haya mambo hawayajui kiasi hicho. wanabakia kutabiri tu. tatizo wakienda kwa wataalam, nao wanaongea kitaalam zaidi.
   
 10. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mziwanda...nadhani umeona kwamba kasema hii ndiyo elimu itolewayo kwa wanandoa ili wapange uzazi.Sasa mabinti mitaani kuwafundisha hii huoni ni kama kuwahatarisha kupata UKIMWI?
  1.Njia hii ambayo huitwa Billings Ovulation method au Calendar/Rythm method siyo ya wale wasiokuwa kwenye uhusiano wa mwelekeo wa ndoa!
  2. Elimu kwa mabinti wa mitaani kama ulivyowasema ni ile ya kusema HAPANA, SUBIRI.... na kwa wale watukutu... watumiye kinga na hivyo hata kujua mzunguko sioni una maana.
  Ni mawazo yangu lakini.
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Jun 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Not necessarily true. Umeshawahi kusikia irregular periods? Kuna wanawake wengine hupata periods zao kila wiki mbili, tatu, you name it....
   
 12. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,790
  Likes Received: 6,303
  Trophy Points: 280
  Mkuu Kapacha, ungewaeleza kwa ufasaha zaidi jinsi ya kuestablish hiyo cycle (21, 28, 30....) then ukawaambia ume-arrive vipi kwenye zile possible siku za mimba kuliko kuwakaririsha namna hiyo. Hii itawasaidia hata wale wanaoenda siku zaidi ya 40 au 18 kama ulivyosema wewe

  Mathalani, mwanamke mwenye cycle ya siku 28, kama ameanza bleeding tarehe 1 January, next bleeding itatokea tarehe 28 au 29 January??

  Kuna mtu alishawahi kutoa somo hapa akatoa formula ya kucount 15 days nyuma kutoka kwenye siku ambayo bleeding inatarajiwa kuanza....hapa sasa ni kwa mtu ambaye amesha-establish cycle yake na anajua kinachoendelea

  WoS, nakubaliana na wewe, elimu kwa dada zetu wa mtaani inafaa ilenge zaidi katika kuepuka ngono zembe au kusubiri. Ni bora waendelee kutojua kinachoendelea as far as mimba is concerned. Mabinti wengi street wanaogopa mimba zaidi ya Ukimwi au magonjwa ya zinaa
   
 13. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  wadada wa huko mitaani kwetu ni bora wakawa na elimu zote. Hakuna sababu ya kumfundisha mtu kuvaa kondom pekee. Kuwe na vipindi kwenye TVs vinavyochambua haya mambo. Ukimfundisha mtu kujikina na kusubiri tu siku ataolewa je? Si ajabu walioko ndoani ndio wanaoongoza kwa kutoa mimba
   
 14. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  hivyo na zile ndoto nyevu za wanaume inakuwaje? Please anayejua atoe darasa.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Jun 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Zile huwatokea watu wasiomega mara kwa mara....
   
 16. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Ok, na hutokea mara ngapi kwa mwezi?
   
 17. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #17
  Jun 14, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Wet dreams are not periodic. They are random...

  More on the subject [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Wet_dreams[/ame]
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  zile ndoto si mchezo! Ni kama uko na dem tu tena unaeza kuta almost kikombe. Na kuchoka juu. Wanawake huwa mnazipata?
   
 19. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Ninavyofahamu mie sisi wanawake huwa hatuna hizi ndoto.
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Jun 15, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ina maana hujawahi kuota usiku ukimegwa na njemba?
   
Loading...