Wacha tu tuzisingizie condom

Wacha tu tuzisingizie condom

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,008
Reaction score
165,553
1. Umepatwa na ugonjwa wa zinaa, unaulizwa ilikuwaje umeukwaa wakati ulionekana ukinunua kondom??? Jibu,..... Kondom ilipasuka, (moyoni unajua fika kuwa kondom uliisunda chini ya mto)

2. Umempa demu wako FaizaFoxy, mimba ya bila kutarajia, ukiulizwa, unasingizia condom, kondom ilikuwa inanipwaya ikanivuka katikati ya majamboz.
Haya ndio maisha yetu watumwa wa ngono zembe.
CC:-
Kaizer, Arushaone, Asprin, Madame B, lara 1, LiverpoolFC, Boflo, watu8, Mwita Maranya, mwaJ, Kipaji Halisi, Mtambuzi, ndyoko, NGULI, mwekundu, Mamndenyi, chama
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom