Urafiki haina shida kabisaHabari za ijumaa?
Inawezekana kwa kijana wa kike au wa kiume kuwa na rafiki aliyekuzidi sana umri?,kwa mfano wewe una miaka 15 halafu rafiki yako let's say ana miaka 28,is it possible?...nauzungumzia urafiki wa kawaida tu wa jinsia moja..
Kweli hapo hamna shida, ila kama ni ule urafiki mwengine wa vijana wa kileo 15-28 atakuwa anakubaka hata kama ni mpenzi
Hakuna tatizo km unaye ww endelea tu kwa roho swafiiiiii
Hakuna urafiki hapo make mawazo yenu yako tofauti kulingana na miaka yenu 15-28
Kuna msemo wa kisukuma 'kubutale kubwisangilo'-'ukubwani ni sehemu ya kukutania'
Hujaona mtu wa miaka 30 ana rafiki wa miaka 45+, na mambo yanaenda?
Aaah aaah dah,humu hatar sana aiseeh
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us