Kwa wafugaji mtanielewa, kuna wakati ukiwa na majike matupu mfano ya kuku basi unalazimika kutafuta dume la mbegu, kazi yake ikiwa ni kutoa mbegu tu. Tabia hii hata kwa binadamu ipo, yapo madume...
Nilikuwa nimekaa maeneo flani Coco Beach leo asubuhi.. Nikasikia kijana mmoja wa kiume akiwasimulia wenzake jinsi usiku wa jana alivyopata mrembo na kwenda kulala nae.. Kwamba, demu anajua sana...
Ouuuuukayyyy this is how it goes.
It was yesterday bana mida ya jion, jirani kanipigia simu akanishtua kuna bonge la Foleni kuelekea Home. Yeye alinishauri nibadilishe njia ila mimi, Well nka...
Nasema twenzetu milimani Moshi kwa ajili ya kuondoa stress,Hakika sijutii kuwa na siku kumi na nne kwa ajili ya kwenda kusalimia nyumbani kila mwaka ,hua nikirudi akili yangu inakuwa...
Habari za asubuhi wanajamvi,wanafamilia tumejikuta katika njia panda baada ya mdogo wangu wa kike(mtoto wa bamdogo) anaishi na wazazi wangu kua rafiki yake ambae alikua Oman anafanya kazi katika...
This dude, HorsePower, has an outstanding track of contribution at MMU forum. I came to realize that, his threads/comments/contributions are legible, elegant, precise, concise, consistent...
Habari zenu wana jukwaa!?
Refer to the heading above!
Binafsi nachukizwa sana na watu hawa wanaojifanya kukosea namba halafu mwisho wa siku mtu anakutaka kimapenzi, tena si kwa staha...
Wana MMU,
hasa wale wanaofuatilia hili jambo langu
Kwa ukaribu, niendelee kuwashukuru sana kwa
Ushauri ambao mmeendelea kunipa,
Wengine mlinishauri moja kwa moja na wengine
Mlidiriki kuja hadi...
Ndugu wana jf....kwa kweli nipo kwenye mtihani mkubwa sana na majaribu makubwa. Nimesoma mpaka elimu ya juu...sina kazi kwasasa. Yan wanafamilia plus ndugu zangu wananidharau mpaka daaah...kama...
Nakerwa na tabia ya wasichana kutembea huku sehemu zao za siri zikiwa wazi. Mnafikiri ni nini kifanyike kukomesha hali hii. Wengine hudhani kuwa kwa kufanya hivyo ndio hasa wataweza kuwavutia...
Wanajamvi hi kwenu wote! Hii ni tabia ambayo nimeiona kwenye ofisi fulani eti unakuta mwanadada ambaye hujaolewa lakini unakuwa mchangamfu kupindukia ofisini na kukumbatia watu ovyo hata waume za...
Hi everyone!
Kwa takribani miezi minne nimekuwa nikijihudumia mwenyewe, the reason behind ni kuwa boyfriend wangu yuko busy kiasi kwamba napata penzi kwa mgao. I don't like to cheat on him, but...
Ebwana , sijui hii inatokana na nini.
Kuna demu niliwahi mtoa usichana wake, it is almost ten years now, bado hanipendi tu...tulikuja achana baada ya yeye kuhama mji kwenda kusoma ukawa ndio...
WANAWAKE WA DAR NA MAPENZI ACCORDING TO MONEY LEVEL
Wanawake wa Dar wana Viwango
vyao vya Hela..
Ukiwa unampa 50,000-90,000
utakuwa unaitw aJina lako tu,
Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin
How is...
Hodi wana jukwaa,
Kama mjuavyo ulimwengu wa kisasa unawapelekesha sana vijana wetu wa kidot com. Juma hili lililopita niliamua kwenda sehemu ambayo nilidhani itakuwa tulivu kwa ajili ya...
Wanawake wa Dar wana Viwango
vyao vya Hela..
Ukiwa unampa 50,000-90,000
utakuwa unaitw aJina lako tu,
Goodmorning Kelvin..Hallow Kelvin
How is your Day...Goodnite Kelvin
Ukiwa unampa kati ya...
Nina rafiki yangu amekutana na makubwa baada ya kukutana na mwanadada mrembo maendeo ya Posta mpya wiki tatu zimepita, baada ya kukutana alikuja kwangu na huyo mchumba wake kunitambulisha kuwa...
Siku hizi sehemu yeyote wasichana are ratio 20:1 kwa mvulana. Wengi wao ni ma single wengine wameachika.
Katika 100% ya population ya wasichana wenye umri kati ya miaka 22- 35,
20% wameolewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.