Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari zenu wanaJF...mm ni mwanaume,mkristo mwenye umri wa 30yrs nani, natafuta mke . SIFA ZA MKE... Asiwe mrefu sana wala mfupi Awe black beauty Elimu kuanzia form 6 na kuendelea Awe mkristu Awe...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Hbr wanajf mimi ni dereva namuendesha mke wa boss yangu toka nimeanza kazi hii yapata mwk mmoja sasa mke wa boss alianza mitego nikawa namvumilia kunasiku tulisafiri kwenda mtwara kwny biashara...
0 Reactions
109 Replies
26K Views
Ndugu zangu leo ni siku muhimu sana kwangu, Namshukuru Mungu kwa pumzi hii aliyonipa maana kama si yeye nisingeweza jambo lolote. katika miaka hii niliyoishi hapa duniani kuna mengi mazuri...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Uganda yapiga marufuku sketi fupi, ponografia Bunge la Uganda limepasisha muswada unaopiga marufuku vitendo vinavyochochea ngono, ambao pamoja na mambo mengine unawazuia wanawake kuvaa sketi...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Jamani wapi wanachoma nyama choma nimpeleke shemeji a.k.a wifi yenu? Wawe wanajua kuchoma nyama. Mimi na chombo changu ni ma canivorous tunakula nyama zozOte ili mradi zochomwe vizuri
0 Reactions
26 Replies
3K Views
HII POST NIMEIKUTA KULE KWENYE UZI WA MASUALA YA AJIRA, AKATI INAHUSU MAPENZI, NIKASEMA NI VEMA NA HERI IJE HUKU MMU, KULE WATU WANA STRESS ZA AJIRA HAWATA ITENDEA HAKI KABAISA... NAOMBA PIA...
1 Reactions
54 Replies
6K Views
^^ Kama kuna taasisi ina waigizaji wazuri basi ndoa ni mojawapo! Kuna wakati wananuniana tu, wanatazamana kama watani wa jadi, na kuwashana vibao vya hapa na pale ilimradi tu maigizo ya maisha ya...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
Kuna binti nilimtamkia dhamira yangu ya kuwa nae kimapenzi.......... Lakini majibu yake yakawa hawezi kuwa na mimi kwa sababu ana mtu mwingine tayari..... Sikutaka kumsumbua sana, hivyo yakabaki...
1 Reactions
52 Replies
5K Views
Nakumbuka miaka sita iliyopita, nilizinguana na mwandani wangu, nikaona isiwe tabu, nikajikongoja mpaka Sudani(Temeke), nikaingia kwenye uchochoro wanakokaa dada zetu wale, baada ya kupita mara ya...
1 Reactions
111 Replies
15K Views
Inawezekana kupendwa na kila mtu?na inabidi mtu afanyeje ili apendwe na kila mtu? msaada wa maoni wana MMU. Upendo huu sizungumzii ule wa romance hapana, naongelea kule kukubalika kwa kawaida.
1 Reactions
65 Replies
9K Views
Nimekuwa nikimshauri ni nini ninahitaji yeye afanye: Awe humble, awe anaongea na mimi sauti ya chini, awe ananisikiliza kile ninachoongea na hata kama ni kukanusha/kukosoa basi awe anafanya...
1 Reactions
61 Replies
8K Views
Nimekuja kugundua wanaume wengi ni wafuasi wa punyeto. Baadhi yao wameoa na wengine ni ma single. Punyeto husababisha unafika kilelen mapema na unachoka kabla mwenza wako hajafika kileleni...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Inapotokea mtu akawa msaada kwa mtu mwenye shida fulani mara nyingi utasikia maneno kama 'nisaidie nikusaidie' sana sana kwa wanaume. wengi ambao wanakuwa wameonelea kwamba hawana jinsi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
wadau,mi waifu wangu sio mtu wa mitandao kabisa japokuwa ni graduate na ana kazi yake.hata acc fb hana,anapenda vitu simpo simpo sana kasoro kuvaa ndo anapenda avae vizuri.amekuwa akiniona mi...
2 Reactions
98 Replies
8K Views
Ni mwaka wa tatu ama wa nne hivi toka mume wa wifi yangu atengane na mke wake. Hawa watu waliona kanisani tena kwa hiyari yao. Hadi hivi sasa wana watoto watatu wazuri tu. Mkubwa yuko chuo Kikuuu...
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Haijawahi kutokea mkoa na hasa jiji hili kupata harusi kubwa na yenye shamrashamra kebekebe kama ya leo. Member mwenzetu YNNAH ametoroka rasmi kambi ya mabachela. Bila kumung'unya maneno...
15 Reactions
113 Replies
12K Views
Kwa moyo mkunjufu napenda kuwasalimuni nyote mabibi na mabwana...................!!!!! Fridays are the hardest in some ways:u're so close to freedom (ngoja niwawahi kabla kila mtu hajaanza hii...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari zenu wana MMU.kwa mara ya kwanza nawashirikisha ktk siku hii muhimu kwangu;siku ya kuzaliwa kwangu ambayo mimi kadoda11 niliwasiri Duniani.Ilikuwa ni alasiri ya alhamisi,tarehe 19 mwezi wa...
2 Reactions
72 Replies
4K Views
Mimi ni msichana naamini mme anapatikana sehemu yoyote. Natafuta mme awe mkristo mwenye miaka 29-33. Naomba ani PM.
4 Reactions
97 Replies
18K Views
Back
Top Bottom