Hata nikitaka Kuoa Nitamuoa Nani?

Hata nikitaka Kuoa Nitamuoa Nani?

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,339
Habari wadau..

Hili ndilo swali linalosumbua vijana wengi sana Duniani nikiwemo mimi..

Kama akili yako hili swali linazunguka sana na limekugusa na wewe kila kukicha unajiuliza hili swali unakaribishwa kijiweni tushauriane cha kufanya
 
daaah! King'asti miss strong mke anatafutwa huku
usifanye utani hii ni ishu siriasi shauriimbaya hilo jambo hata mi linanipa shida nilikuwa nawaza kuoa graduate lakini baada ya kuishi chuo naona mwanamke ni mwanamke. saizi yeyote ntaeona ananifaa awe wa chuo, std 7, banker au mamantilie mi ntaoa tu.
 
Last edited by a moderator:
mke mwema uja kwa wakati ufaao.tunaweza kusema oa huyu kumbe wewe umempenda huyu.cha msingi angalia yule ambaye mnaendana interest.
 
Habari
wadau..

Hili ndilo swali linalosumbua vijana wengi sana Duniani nikiwemo mimi..

Kama akili yako hili swali linazunguka sana na limekugusa na wewe kila
kukicha unajiuliza hili swali unakaribishwa kijiweni tushauriane cha
kufanya
you are not special hadi ukose wa kuoa we wa kawaida kabisa tena
nikukumbushe mchamba sana mwisho hushika ma.....v.i utaangukia pua tu
labda mkeo atoke sayari ya mars vijana mna shida sana
 
Habari wadau..

Hili ndilo swali linalosumbua vijana wengi sana Duniani nikiwemo mimi..

Kama akili yako hili swali linazunguka sana na limekugusa na wewe kila kukicha unajiuliza hili swali unakaribishwa kijiweni tushauriane cha kufanya

Ukiwa tayari kuoa autajiuliza hilo swali, alafu wasichana/wanawake wa kuoa ni hawa hawa unao waona mitaani kila siku na ndiyo hao hao utaoa. Hakuna hata siku moja Mungu atamshusha mwanamke mkamilifu kama malaika, wote wana madhaifu yao cha msingi ni kuchukuliana/kuvumiliana. Nikwambie hivi, siku ukiamua au ukiwa na hitaji la kuoa kwa dhati hautajiuliza maswali haya.
 
Dont expect a perfect woman,ukitaka mke mbna utampata tu
 
usifanye utani hii ni ishu siriasi shauriimbaya hilo jambo hata mi linanipa shida nilikuwa nawaza kuoa graduate lakini baada ya kuishi chuo naona mwanamke ni mwanamke. saizi yeyote ntaeona ananifaa awe wa chuo, std 7, banker au mamantilie mi ntaoa tu.

Usidanganyike ukaoa mwanamke ambaye mmepishana sana kielimu kama huyo std 7 unayesema wakati wewe ni mhitimu wa chuo..

Inafika mahali uko na wasomi wenzako mnajadili mambo mke wako anaona nyota tu, hana la kuchangia!

Tumeshaona wengi waliofanya hilo kosa wakaja juta baaadaye. Labda ujitahidi kumwendeleza baada ya kumwoa...inaweza saidia.
 
Last edited by a moderator:
Na swali la msingi la kujiuliza pia, ''Nani anaeweza kukubali kuolewa na mimi? Je nina sifa za kumvutia Mke mwema ?''

Habari wadau..

Hili ndilo swali linalosumbua vijana wengi sana Duniani nikiwemo mimi..

Kama akili yako hili swali linazunguka sana na limekugusa na wewe kila kukicha unajiuliza hili swali unakaribishwa kijiweni tushauriane cha kufanya
 
Mimi au ulisahau ahad kemkem ulizokuwa unanipa wakat unanitongoza pale karibu juma muuza juice...
 
Back
Top Bottom