Nimevumilia majaribu ya ndoa yamenishinda, ninaishi na mke wangu lakini hatuna furaha yaani kama tumelazimishwa!
Hakuna kabisa furaha, tumejaribu kukaa chini na kujadili mara nyingi sana lakini...
Ladies & Gentlemen!!
Kwa mara nyingine tena nawakaribisha katika Interview bab' kubwa.
Topic: Madhara ya urafiki wa kwenye mitandao ya kijamii.(positive and negative impacts)
Wandugu hii...
wanajamii wenzangu mie naomba mnisaidie eti wanaume wa makabila yetu ya kiafrica huwa wanaona noma kwenda sokoni ni kweli ?
pili kuna umuhimu wowote wa kufanya budgeting kwa ajili ya shoping au...
Huwa mara nyingi najiuliza na pengine wapo ambao watakuwa na swali kama langu, kwa wale waliooa, inapokuja kwenye suala la kushiriki mapenzi na hata kitendo cha kubusiana huwa mke na mume...
Habarin wana mum,
Nataraj kwenda nairob mwez wa feb on 20th nahtaji kujua garama za vyumba kwa usiku katika lodge na maeneo lodge ilipo na garama za tax ikiwezekana kutoka stand.
Najua thread...
Poleni wanajamvi,leo nimekuja na mjadala hapa wa mzazi wa kiume kutopenda uzao wake wa kwanza uwe wa Kike na hii kasumba ipo kwa wanaume weng sana ukubali ukatae jibu ni ndio,hata pindi mke...
Jamani mizigo ina raha yake jamani, haswa kuiangalia....
Vuta picha binti kapanda, kama futi tano point nane,
juu mwembambaaa......
katikati ana bonge ya zigo, limewekwa ndani ya kipedo...
Habari zenu wanajamvi,
Naombeni mnijuze kwa mitizamo yenu, kuna tatizo gani mpenzi wako akikupa pesa nawe ukaihesabu hapohapo kujua ni kiasi gani, nimekua nikiona wengi sanasana wadada yan akipewa...
"Quran 17:32
And do not approach unlawful sexual intercourse. Indeed, it is ever an immorality and is evil as a way.
Leviticus 20:10
"If a man commits adultery with the wife of his neighbor, both...
Wanawake wengi sana pindi akianza mahusiano, akimkuta mwanaume ana mtoto tayari wanakuwa awana maneno sana. Wengi wao wanakubaliana na hali ya mambo huku wakiwa wanatoa tahadhari kwamba ukianza...
Tazama movie hii, utamuona, jina analotumia kwenye movie hii, ni Nkiruka ( Nkiruka is an igbo name which means THE BEST IS STILL TO COME ).. Hebu mtazame halafu utoe maoni...
Habari kwenu wana JF!
Hii ni kauli niliyoipata kutoka kwa mdada mmoja wa JF, sijui dada zetu kuna ukweli ndani yake?Je mnapokuwa kunako sita kwa sita mnafikishwa kisawasawa au vijana ni...
Habari,naam kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida ya MMU kuwekana sawa katika misingi ya kujenga familia/mahusiano bora yenye furaha na bashasha na yenye kudumu(education),nimeona sio vijana...
Huu ni uzoefu wangu wa miaka zaidi ya 8 juu ya wanaume wanapokuwa safarini kikazi nje ya ofisi zao.
Kwa kweli kwa asilimia kubwa nakubaliana na ule usemi kwamba vidume vingi ndivyo vinavyoleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.