Hivi mwanamke anaposema "unamchezea" yupo sahìhi kweli wakati wote mnavua chupi?
Hivi mwanamke anaposema "unamchezea" yupo sahìhi kweli wakati wote mnavua chupi?
namaanisha unapomake lv na mwanamke then mnaachana, anakudemand ulimchezea na kumwacha. Yupo sahihi kwamba ulimharibu?
Sijawah kusikia hiyo kauli toka kwa mwanaume mkuu!
Pili pili Kichaaa huwa unatumia kinywaji gani? Mana nilikuwa nataka nikualike ikiwezekana. Huyu dogo amenifanya nijiulize maswali mengi sana kabla ya kufikiria kumjibu. Halafu nikahisi nitamkomaza na hii mineno yangu. Mana kwa mwanaume rijali na mwenye akili timamu, anaweza akaangua kilio akiambiwa na mwanamke kuwa amemchezea.
SENKYU VERY MUCH KWA KUNIFUNDIA MWALI WANGU
mh...umemchezea au mmechezeana???kwani yeye ulikuwa unamfunga kamba mikono??
Hivi mwanamke anaposema "unamchezea" yupo sahìhi kweli wakati wote mnavua chupi?