Hivi wanawake wenye uhusiano na wanawake wenzao...nao hutegemea kugaramiwa kama ambavyo.....

daviey69

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
2,237
1,225
Nimekua nikiona wanawake kwenye movies ambao wamo kwenye usiano na wanawake wenzao na hawaonyeshi kama kunakutegemea support ya kimatumizi kutoka kwa mwenza wake zaidi ni wivu ndo huonekana zaidi! je kwenye maisha ya reality wanawake wa aina hii walioko kwenye mahusiano na wanawake wenzao nao hutegemea mwenza wake amgharamie kama ambavyo hutaka wanaume kuwagharamia?

Angalizo; I only want to know kama utachukizwa na post hii pretend hukuiona na upite kiroho safi!
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,842
2,000
Sidhani kama wanategemea kutunzwa na wenzi wao nadhani kila mtu anajitegemea wanakutna tu kwenye kupeana raha
 
daviey69

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
2,237
1,225
Sidhani kama wanategemea kutunzwa na wenzi wao nadhani kila mtu anajitegemea wanakutna tu kwenye kupeana raha
tabia hii ya kujitegemea wangefanya kwa kipindi cha u-boyfriend na uchumba matunda yake si yangekua mazuri kuanzia heshima na hata wanapoingia kwenye ndoa ingekua bado ni furaha sana?
 
Daudi1

JF-Expert Member
Dec 14, 2013
6,842
2,000
tabia hii ya kujitegemea wangefanya kwa kipindi cha u-boyfriend na uchumba matunda yake si yangekua mazuri kuanzia heshima na hata wanapoingia kwenye ndoa ingekua bado ni furaha sana?
Kwenye mind ya mwanamke ni kwamba akiwa na mwanaume tu ndo matunzo yanapaswa kuwepo mara hili mara lile na siyo kwamba eti kabla ya kuwa na mwanaume hayo mahitaji alikuwa hana
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,759
2,000
wanawake wa shoka hata wanapokuwa na mahusiano na wanaume hawategemei kuhudumiwa.
 
babakaren

Member
Dec 15, 2013
39
70
Nimekua nikiona wanawake kwenye movies ambao wamo kwenye usiano na wanawake wenzao na hawaonyeshi kama kunakutegemea support ya kimatumizi kutoka kwa mwenza wake zaidi ni wivu ndo huonekana zaidi! je kwenye maisha ya reality wanawake wa aina hii walioko kwenye mahusiano na wanawake wenzao nao hutegemea mwenza wake amgharamie kama ambavyo hutaka wanaume kuwagharamia?

Angalizo; I only want to know kama utachukizwa na post hii pretend hukuiona na upite kiroho safi!

:behindsofa:
 
daviey69

JF-Expert Member
Aug 12, 2013
2,237
1,225
Wewe unawaona wanawake lakin yupo bwana na bibi hapo
okey huyo bibi nae ata-demand matumizi na kupiga mizinga kama vile simu yangu imedondokea kwenye maji, sijala, naumwa, sijakujibu kwasababu sina credits, bibi ni mgonjwa naomba laki nikamuone na hela ya sonyo ya babu shilingi elfu sabini and nauli ya kurudia!
 
warumi

JF-Expert Member
May 6, 2013
15,547
2,000
Eeh hii ipo mbona?? Mm niliwahi kusimuliwa na rafiki yangu wa kike jinsi demu mwenzie anavyomzmikia na alikuwa anamuhudumia kila kitu,alikuwa hatak awe na mwanaume na alikuwa na wivu sana akimuona uyo demu na mwanaume mwingine,yah hyo ipo na maranyingi hutumiwa na ma lesbian waliokubuhu kuwarubuni wadada wazuri ambao hawana mchezo huo had kukubali
 
Jorojik

JF-Expert Member
Dec 21, 2012
3,159
2,000
Eeh hii ipo mbona?? Mm niliwahi kusimuliwa na rafiki yangu wa kike jinsi demu mwenzie anavyomzmikia na alikuwa anamuhudumia kila kitu,alikuwa hatak awe na mwanaume na alikuwa na wivu sana akimuona uyo demu na mwanaume mwingine,yah hyo ipo na maranyingi hutumiwa na ma lesbian waliokubuhu kuwarubuni wadada wazuri ambao hawana mchezo huo had kukubali

Kwa hiyo na huyo rafiki yako wa kike tayari ni lesbian pia? Ilikuwaje akubali kuhudumiwa kila kitu il-hali yeye si lesbian?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom