Ni matumaini yangu wote mu wazima wa afya na mnaendelea vema na majukumu yenu ya kila siku.
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka. Nimeamua kuwa na aina tofauti ya kufunga na kuanza mwaka. Natafuta kampani awe ke au me awe anauwezo nami na uwezo wangu wa kushare chochote kama drinks na maongezi yaendane pia. kama utakuwa me naomba uwe walau una 38 yrs najua hakutakuwa na mambo ya kihuni huni. Pia tutashauriana tutaenda wapi. Karibu kwa aliye siriaz tu.
Nawasilisha.