Hebu tujadili hili suala!

dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,346
2,000
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri nikasema ni vzr nilifikishe hapa mezani wanaJF walichambue!

Huyu mshkaji ni mwalimu wa chuo Kikuu fulani ana Masters yake nzuri tu! ila ni yanki tu hata 30yrs hana, katika kufundisha fundisha kwake amekutana na wengi wanaomuomba msaada. Wengi anawasaidia bila malipo yoyote akijua ni shida za kibinaadamu,

Sasa anasema amepata kuwa na marafiki wengi (Hasa wanawake na especially wamama) wakiomba msaada na huwa anawasaidia, shida ni kuwa wamama wanamsumbua sana yaani anataka kila kitu afanye yy, akiwauliza hata reserach tittle inakuwa shida!

Kali kuliko yote jana kapigiwa simu na mke wa kiongozi mkubwa pale OUT (ofcourse wanajuana before) anataka amsaidie reserch yake! akamwambia atampa ushauri tu wa jinsi ya kufanya na nn kinahitajika lakini hawezi kumfanyia manake yy mwnyw amebanwa sana! mama wa watu kapanic kaanza kumwambia maneno makali na mwisho anamwambia asimpigie tena simu na yeye (huyo mama) atafuta contacts zake zote so asimtafute!

Jamaa ss anasema, asije akauziwa kesi! manake mama ni mke wa mkubwa serikalini na yy ni bwana mdogo tu!

Kijiweni hapa, watu wanamwambia shida yake ni mpole sana na huwa haombi mechi (za mchangana kwa wamama) wala malipo yoyote! wanamwambia mwanamke ili akuheshimu lazima umtongoze, then kama humtaki akikukubalia unamzingua, ila ukiwa rafiki tu, lazima atakuzingua one day!

hebu nipeni ukweli, manake kama ni hivo nina kazi kubwa ya kufanya!
 
byb sac

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
909
500
kwahiyo kwasababu ni mke wa mkubwa basi amfanyie research kwakumuogopa mumewe.siampe mume wake afanyie.sasa yeye alienda shule kufanya nini pumbafu sana..na yeye/mwalimu aache kujilegeza afanye kilichompeleka kazini.aache kujipotosha eti awatongoze wadada/wamama..chuon watoto wa mama salma wengi atapotea...
 
dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,346
2,000
hivi mtaacha lini kudanganyana nyie??? mnanikeraaaaa!!

Suala hapa ni kuwa! kunaweza kuwapo na urafiki wa jinsia mbili na wakudumu wa hivihivi tu! nini kitajenga heshima ktk urafiki wenu! manake mtakaa mtapiga stori halafu zikiisha inakuwaje??

So wanasema ili kuweka boundary nzuri lazima umtongoze, note sio kila unayemtongoza unamtaka ni kumwambia tu kuwa asijiachie saaana, manake ww ni mwanaume na unamatamanio!

mm nataka nijue hii ni sahihi, nianze kuziba mahusiano yaliyolegea legea!
 
dist111

JF-Expert Member
Nov 29, 2012
3,346
2,000
kwahiyo kwasababu ni mke wa mkubwa basi amfanyie research kwakumuogopa mumewe.siampe mume wake afanyie.sasa yeye alienda shule kufanya nini pumbafu sana..na yeye/mwalimu aache kujilegeza afanye kilichompeleka kazini.aache kujipotosha eti awatongoze wadada/wamama..chuon watoto wa mama salma wengi atapotea...

We unadhani waliokuwepo jela wote wana hatia??
 
Husninyo

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
23,759
2,000
Suala hapa ni kuwa! kunaweza kuwapo na urafiki wa jinsia mbili na wakudumu wa hivihivi tu! nini kitajenga heshima ktk urafiki wenu! manake mtakaa mtapiga stori halafu zikiisha inakuwaje??

So wanasema ili kuweka boundary nzuri lazima umtongoze, note sio kila unayemtongoza unamtaka ni kumwambia tu kuwa asijiachie saaana, manake ww ni mwanaume na unamatamanio!

mm nataka nijue hii ni sahihi, nianze kuziba mahusiano yaliyolegea legea!

sawa endeleeni kutongozana ili muweke hiyo boundary nzuri.
 
Mashaxizo

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
6,712
1,225
Hahahahaaa!
Kweli umepata ushauri wa kijiweni!!!
Kila ke anaehitaji msaada atongozwe!!!
...
Umegeneralize sana uzi wako, but mimi wacha nijikite kidedactive reasoning (frm general to specific!)
...
1 kila mtu anahaki ya kufanya na kuamua lolote bila ya kulazimishwa!
...
Kutoa msaada kwa mtu ambae huna duty ya kufanya hivyo is only persuasive! Not must! However kufanya hivyo ni uungwana but usipofanya hauna dhambi yoyote!
...
2 kujiamini ni kitu muhimu sana kwa binadamu yoyote!
...
3 kujua wajibu na haki zako ni jambo la msingi kwa binadamu yoyote yule! Ikitokea haki zako zina(takaku)vunjwa, hata fata utaratibu ulioekwa to insure your rights are well preserved! Hata katiba inasema hivyo!
...
Ngoja nispesfy sasa:
Mwambie rafiki yako asijilazimishe kutoa msaada if hataki!
Kunakitu kinaitwa LABOR LAW!
Hapa kuna rights na duties za labour wote!
Endapo atafukuzwa kazini au kushushwa cheo hiyo ishu itafall kwenye UNFAIR DISMISSAL AND TREATMENT!
...
I know, wakubwa ndio wameshika sheria but sio kama inavyodhaniwa!
...
We mwambie tu atulie na asifanye lolote except kuandaa shahidi wa kuproof kuwa huyo mama ni kweli alimlazimisha huyo lecturer amfanyie research!
Kinyume na mashahidi ya hiyo kitu, haki zake zitapotea mchana kweupeee!
...
Tena umsistize asimfate mmewe na kumueleza hiyo ishue ya mkewe! Yap hasara za kufanya hivyo ni kubwa kuliko faida!
...
Kama alijiunga na TRADE UNION yoyote mwambie akafate ushauri huko! And if hakujiunga HUO NI UZEMBE!
So utamwambia amfate LABOR COMMISSIONER aliekaribu naye, naamini atasaidiwa vizuri tu!
...
I hope nimesoumeka hapa!
 
LILENDI

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
1,400
0
Kuna jamaa yangu kaniomba ushauri nikasema ni vzr nilifikishe hapa mezani wanaJF walichambue!

Kali kuliko yote jana kapigiwa simu na mke wa kiongozi mkubwa pale OUT (ofcourse wanajuana before) anataka amsaidie reserch yake! akamwambia atampa ushauri tu wa jinsi ya kufanya na nn kinahitajika lakini hawezi kumfanyia manake yy mwnyw amebanwa sana! mama wa watu kapanic kaanza kumwambia maneno makali na mwisho anamwambia asimpigie tena simu na yeye (huyo mama) atafuta contacts zake zote so asimtafute!

Jamaa ss anasema, asije akauziwa kesi! manake mama ni mke wa mkubwa serikalini na yy ni bwana mdogo tu!

Kijiweni hapa, watu wanamwambia shida yake ni mpole sana na huwa haombi mechi (za mchangana kwa wamama) wala malipo yoyote! wanamwambia mwanamke ili akuheshimu lazima umtongoze, then kama humtaki akikukubalia unamzingua, ila ukiwa rafiki tu, lazima atakuzingua one day!

hebu nipeni ukweli, manake kama ni hivo nina kazi kubwa ya kufanya!

red: jamaa yako ameomba ushauri
bold: wewe mwenyewe unataka ukweli, nadhani ni ukweli wa aya ya pili toka mwishoni? mengine sio muhimu tena?

anyway, amani ya moyo iamue. whether ni wewe au ni jamaa yako, mtu halazimishwi kutoa msaada kwa mtu. hata angekuwa Rais hana haki ya kumnyanyasa yeyote.

huo ni mkwara tu, huyo mama hana lolote. remember "a dog that barks too much seldom bites"
mambo ya kuipata heshima kwa kuwatongoza wanawake wanaotaka msaada kwako sina la kusema. mimi ni mgeni katika mji huu, napita tuuu!
 
LILENDI

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
1,400
0
Suala hapa ni kuwa! kunaweza kuwapo na urafiki wa jinsia mbili na wakudumu wa hivihivi tu! nini kitajenga heshima ktk urafiki wenu! manake mtakaa mtapiga stori halafu zikiisha inakuwaje??

So wanasema ili kuweka boundary nzuri lazima umtongoze, note sio kila unayemtongoza unamtaka ni kumwambia tu kuwa asijiachie saaana, manake ww ni mwanaume na unamatamanio!

mm nataka nijue hii ni sahihi, nianze kuziba mahusiano yaliyolegea legea!

red: hilo ni suala la mind set. mimi nilikuwa na marafiki wawili wa kike, niliosoma nao A-level, tukaenda wote chuo kimoja. bahati mbaya mmoja alifariki mwaka juzi (may her soul R.I.P).

blue: hekima na busara zako ndo zitakujeengeeni heshima. tabia ya kumtongoza kila anayekuwa rafiki au karibu nawe ni tabia za plaboys. utaheshima kwa easy going and cheap girls, kwa wanaojishimu utadharaulika mno. mfano, mimki sikuwahi kuwatongoza hao marafiki zangu lakini Familiya ya huyo marehemu na ya huyu aliyebaki ni ndugu zangu hadi leo na tunaheshimiana kuliko unavyodhani. rafiki yangu amechumbiwa na hunieleza mambo yao ya uchumba na mipangilio mingine ya maisha.

badilikeni enyi wazinifu!
 
LILENDI

JF-Expert Member
Oct 27, 2013
1,400
0
kwahiyo kwasababu ni mke wa mkubwa basi amfanyie research kwakumuogopa mumewe.siampe mume wake afanyie.sasa yeye alienda shule kufanya nini pumbafu sana..na yeye/mwalimu aache kujilegeza afanye kilichompeleka kazini.aache kujipotosha eti awatongoze wadada/wamama..chuon watoto wa mama salma wengi atapotea...

bold: ndo maana siku hizi baadhi ya wasomi wenye Phd na U-prof ni vilaza tu,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom