Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani naomba tushare experience kwa wale ambao imeishawatokea janga la kushika au kushikwa ugoni vp mlijisikiaje muda ule?tupe maoni yako ingawa ni machungu ya moyo.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Najaribu tu kujiuliza, mzee mwenzangu Bujibuji atakapo amua kuingia kwenye siasa, ndoa yake na Mamndenyi itaendelea kweli? Mama ni mnazi wa magamba wakati Bujibuji shabiki mkubwa wa vyama vya...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Yakiwa yamebaki masaa machache kuzaliwa Bwana Na Mwokozi wetu. Vyema kutakiana heri katika sikukuu hii tukufu na adhimu. Kwa upande wangu, nawawish hawa MERRY CHRISTMAS chief-mkwawa C6 njunwa...
6 Reactions
6 Replies
885 Views
Jamani, Bro katoka Uingereza na mchumba wake, wote ni Watanzania na wameenda ughaibuni mwaka 2010 wakiwa ma boyfriend na nyumbani wakiwa hawamjui huyo binti. Juzi usiku wameingia Tz kwa ajili ya...
4 Reactions
57 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamvi, Naombeni mnijuze kwa mitizamo yenu, kuna tatizo gani mpenzi wako akikupa pesa nawe ukaihesabu hapohapo kujua ni kiasi gani, nimekua nikiona wengi sana sana wadada yaani...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hii riport ni kawaida kutoka kila mwaka, hasa kwa mkoa wa Dar Es Salaam. Please, tuweke nani 'Mtani Jamii Forum' tabiri idadi ya hao watoto ni wa ngapi kwa mkoa wa Dar au Manispaa zake?
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Huyu dada sijamuelewa! Jana jioni alipita na kikanga kimoja na t-shirt nyeupe. Nilivyomkaribia kanga ikadondoka! Haaa, kumbe kavaa chupi tupu nyeupe? Nilijikaza nikaondoka zangu. Leo tena asubuhi...
1 Reactions
85 Replies
12K Views
This brings warmest wishes for a wonderful holiday season filled with every happiness.along with a new year that brings you everything you're hoping for.may the wonder of this celebration last not...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nawasalimu!Ni member mpya humu jamvini,japo nilikuwa naingia Mara kwa Mara.Ni mwanamke niliyeolewa miaka 10 iliyopita,nina miaka 34,nina mtoto mmoja aged 3yrs.Tangu nimeolewa sijawahi kufurahia...
2 Reactions
50 Replies
4K Views
Naomba nichukue fursa hii kuwatakieni nyote heri ya sikukuu ya noeli,i love you all
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Ana ana ana do Kachanika basto Ispiringi matingo.....
1 Reactions
173 Replies
18K Views
sponsor wangu hataki nipendeze wala niwe na kitu chochote kizuri et kisa ananilipia ada alafu u can imagine am taking my second degree yaan nikienda kuonana naye naendaje rafu sitakiw kuwa hata na...
1 Reactions
40 Replies
5K Views
Jamani hivi kumchukua bamedi wakati umelewa na kuja kumgegedea kwenye kitanda unacholala na mkeo wakati mkeo yupo safari hili suala wadau laweza kuwa laana?Na laana hiyo unaisafisha vipi?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Wanabodi Asalaam Aleykum!!!!! Natumaini nyote mko poa na mnajiandaa vizuri kuzipokea sikukuu za mwisho wa mwaka. Leo bana nimeona nishee na nyie jambo flani ambalo kadri siku zinavyoenda naona...
4 Reactions
78 Replies
7K Views
Bajeti yangu nasubiria ipitishwe na bunge la ubongo wangu. Kwa siku tatu tu.. Yaani leo usiku mkesha... Kesho sikukuu, Na kesho kutwa Tunaachana... Ukuwa serious ni PM!!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nitamwambia sina pesa, nitamtoa out mpaka kibanda cha mama ntilie. Nitamwambia tule mkate na maharage. Nitampatia mkate, pindi akianza kula atapata na mshangao baada ya kuona brand new Toyota...
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari wadau. Hebu tujadili wadau. Kipi bora kati ya hivi katika kuanza maisha, Kukaa gheto na mshakaji wako ili kupunguza gharama au Kukomaa mwenyewe peke yako ? Hii ni pale unapokua ndo unaanza...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna tabia hii imezoeleka sana kwa akina dada wa mujini siku hizi. Nimeshakutana nazo mara nyingi sana. Ila kilichonikuta hivi karibuni ni majanga. Nimepanda zangu daladala, nikakuta viti vyote...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Maisha ya wenye nacho tuu je tutafika?
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Jamani hebu tuwekane sawa katka hili.kuna watu wengi sana wanadai eti haifai na haishauriwi kwa wachumba/mke na mume kulingana umri.kuna sababu nyingi wanazotoa eti ooh mke atazeeka mapema(wakati...
1 Reactions
15 Replies
9K Views
Back
Top Bottom