Mimi ni kijana natafuta mwanamke kuanzia miaka 22-26 awe mpenzi wangu sichagui dini wala kabila awe maji ya kunde au mweupe kiasi uwe na elimu kuazia diploma na kuendele.....kwa alie tayar ani MP
Mwenzenu naitaji msaada maana kila nikiwaza kuhusu kufanya mapenz biologia yangu inasimama! Dawa yake ni nini kwasababu hadi mbele za watu inatokea hivyo?
Sent from my BlackBerry 9900 using...
Rafiki yangu yupo kwenye mzozo mkali na mpenzi wake, walitoka kutembea na wakakaa katika bar moja, wamekunywa na kula, wakati wanatoka dada yule akakutana na mwanaume mmoja wanaofahamiana...
Salama wakuu.... jamani lazima kuhama ndio sikukuu or ndio kufurahi ? mimi niko kariakoo karibuni sana ndani ya mita 300 utachagua kila kitu ukipendacho chakula ? hotel ...
kwa wale wapenz wa jukwaa hili pamoja na mm,kesho ndo x-mass,kama una ukame wa siku nyingi wa kuona nyuchi karibu fukwe za dar kutakuwa polomoshen,bure kabisa.baadh ya fukwe ni-coco beach-kunduch...
Mwanamke wa kizibwamwe. Miaka 39 Annie Mpariwa ambaye amemnyonyesha mtoto wa jirani yake bila ruhusa amefungwa miaka 2 jela kwa kosa la kutaka kumwambukiza mtoto wa jirani yake HIV+. Kesi Imesomwa...
Habari zenu wana-MMU
Wanawake wamekuwa vinara wakubwa wa kuweka picha zao za utupu hadharani hasa kupitia mitandao ya kijamii,.
Mara nyingi picha hizi wanakuwa wamezipiga wakati wakiwa na...
Hivi mda mwingine akili zinahama au inakuwaje? Kila mtu ni shurti ajilinde yeye mwenyewe. Hakuna mtu ambaye anatafuta maisha au anajilinda ili fulani amsifie.
Utakuta mtu analalamika fulani...
Habari zenu wanajamiiforum
Mimi nikijana wa miaka 30 naishi Dar maisha yangu ya wastani sio ya juu sana na wala sio ya chini pia elimu yangu ni ya kawaida tu
Shida iliyoniweka hapa mtandaoni ni...
Nelson mandela aliweza kuwasamehe wote waliomfunga na kumtesa nusu kufa lakini alishindwa kumsamehe aliye msaliti.
Mapenzi yana nguvu yake. Ndo maana risasi zinahusika sana. So acha kumsaliti...
Nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 26-40 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asiwe mfupi awe saizi ya...
Wana jamvi. Mara ya mwisho kufiwa na ndugu, rafiki, jirani kutokana na gonjwa la ukimwi ni mwaka 2003.
Tofauti na miaka ya nyuma ambapo tulipoteza ndugu na marafiki wengi, hali sasa imekua...
HII hali inanitisha na kuniogopesha sana ..nina mda wa miez m3 na mpnz niliye naye sasa...na nnampenda sana ila kila siku upendo wangu unazid kushuka kutokana na kutokuwa na elimu juu ya hayo...
Habarini za jioni wadau,nimefanya karesearch nimegundua karibu kila mwanaume anadate na wanawake zaidi ya mmoja so iwapo tungeamua kubadilika kila mtu akawa na mwanamke mmoja tu wanawake wengi...
:A S cry::A S cry: Jamn my friend kaolewa hat miezi miwili haijapita ni mjamzito ana mimba ya miezi sita jana mume wake kakamatwa anafanya ngono na na mwanamke mwingn kweny gar gari yenyew ya...
Pole zangu ziwafikie wale mademu waliahidiwa kuwa mwaka huu wataolewa,nataka kuwakumbusha tu kuwa mwaka unafikia ukingoni!pia salamu zangu ziwafikie nyie mademu mliolazimisha kuvalishwa pete km...
Mapenzi kitu cha ajabu na muda mwingine cha kijinga sana, kutopokea simu ya mpenzi wako laweza kuwa kosa kubwa linaloweza kuleta ugomvi mkubwa
Lakini mbona shosti wako ulipompigia hakupokea...
Wadau wa MMU,
naombeni tu nije hapa nitoe ya moyoni kidogo na pia kusikia maoni yenu. Kwa kilichonitokea siwezi ongea na ndugu wala rafiki sababu hawataamini na itakua aibu kwangu kiasi flani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.