Kipi bora ?

Kipi bora ?

Tobido

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2010
Posts
331
Reaction score
76
Habari wadau. Hebu tujadili wadau. Kipi bora kati ya hivi katika kuanza maisha, Kukaa gheto na mshakaji wako ili kupunguza gharama au Kukomaa mwenyewe peke yako ? Hii ni pale unapokua ndo unaanza maisha. Naomba tujadili wadau.
 
Unapunguza gharama za maisha au unazikabidhi kwa mshikaji...???
 
Kaa peke yako ili upate akili ya kufanya maendeleo habari za kushare cost sijui huyu achange elfu tano na huyu tano zilishapitwa na wakati, fight for your own life!
 
I get your point mkuu. But vp ukipata tatizo ghafla e.g kuumwa ghafla ?
 
Kama huna kitu au kamshahara ni kadogo ni bora mkajiunga wawili mkamiliki kageto kamoja..

Ila inabidi ujitahidi uchangie baadhi ya gharama za msingi kama chakula, umeme na kodi ya chumba
 
mmmh mambo ya kuaa wawili utafikiri bado mnasoma!!! ishi mwenyewe bana ujitegmee na maisha yako
 
Kukaa na mtu tena mwanaume mwenzio! Hii noma kwanza hakuna kinachopungua zaid mtazinguana tu.mtu na mkewe wanazinguana sembuse wanaume tupu. Kaa peke yako kama ndio unaanza maisha akili ikomae.mafahali wawili hawakai zizi moja kaka.
 
Kaa peke yako ili upate akili ya kufanya maendeleo habari za kushare cost sijui huyu achange elfu tano na huyu tano zilishapitwa na wakati, fight for your own life!
kabisa mkuu,hujakosea
 
Back
Top Bottom