realleonia
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 366
- 139
Jamani hivi kumchukua bamedi wakati umelewa na kuja kumgegedea kwenye kitanda unacholala na mkeo wakati mkeo yupo safari hili suala wadau laweza kuwa laana?Na laana hiyo unaisafisha vipi?
Bar Maid naye ni mtu. Hakuna cha laana wala nini!ni laana kubwa sana na huwa aiishin mapaka vizazi vinnee vipite....
Ni laana na haiishi mpaka meo naye amlete msafisha kucha kwenye kitanda chenu iwe +1-1.
Bar Maid naye ni mtu. Hakuna cha laana wala nini!
Nazidi kuku-mind. Ubarikiwe na sikukuu njema!si maanishi kuwa barmed hafai kulazwa ndani hapana tena hapana kubwa....... hata kimada hatakiwi kulazwa ndani kwenye kitanda anacholala mkeo sawa mkuuu ,..l...
ni laana kubwa sana na huwa aiishin mapaka vizazi vinnee vipite....
Imeandikwa wapi?
naita mimi.... kama umeshafanya hivyo jua imekula kwako umelaaniwa.........
Ukichukuliwa wewe na kulgegedwa kwenye hicho kitanda itakuwa laana..??ni laana kubwa sana na huwa aiishin mapaka vizazi vinnee vipite....
Ukichukuliwa wewe na kulgegedwa kwenye hicho kitanda itakuwa laana..??
Nazidi kuku-mind. Ubarikiwe na sikukuu njema!