natafuta mrembo wa kula nae sikukuu tu.

rafikimkweli

JF-Expert Member
Sep 5, 2013
349
0
Bajeti yangu nasubiria ipitishwe na bunge la ubongo wangu.

Kwa siku tatu tu..

Yaani leo usiku mkesha...

Kesho sikukuu,

Na kesho kutwa

Tunaachana...

Ukuwa serious ni PM!!
 

jamiif

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
2,414
1,195
pitisha bajeti kwanza, ijulikane ni bei gani, iweke hapa, kisha MENGINE yatafuata....
 

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,397
2,000
Bajeti yangu nasubiria ipitishwe na bunge la ubongo wangu.

Kwa siku tatu tu..

Yaani leo usiku mkesha...

Kesho sikukuu,

Na kesho kutwa

Tunaachana...

Ukuwa serious ni PM!!

mtu mwenyewe unatoka familia maskini kabisa,ndugu zako wanakufa njaa mkoa huko.halafu mama yako alikuwa analalamika hujamtumia hata tsh 10000 ya kununua kilo ya nyama xmas hii.afu uko hapa unajifanya unajua kutumia.
 

hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,891
2,000
mtu mwenyewe unatoka familia maskini kabisa,ndugu zako wanakufa njaa mkoa huko.halafu mama yako alikuwa analalamika hujamtumia hata tsh 10000 ya kununua kilo ya nyama xmas hii.afu uko hapa unajifanya unajua kutumia.

Duuuuh
Tehe teheeeeeeee
 

hekimatele

JF-Expert Member
May 31, 2011
9,891
2,000
There is a grain of truth
Tuma hela kwa wazazi kwanza kisha utatue matatizo yanayozunguka familia yako. Ukishamaliza toa zaka na sadaka kanisani then kawaone watoto yatima na kuwafanyia karamu then chenji itakayobaki uje nayo kufanya unayotaka kufanya
 

realleonia

JF-Expert Member
May 25, 2013
364
250
Yaani watoto midebwedo utawaona tu halafu mtu mwenyewe anaonekana mkimbia majukumu huyo wewe unaambiwa 2014 umeme,simu bei juu halafu unataka kuspend au hela za wizi nini maana hazinaga uchungu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom