Haya ni maneno yakimtoka kijana ambaye ameoa miaka miwili iliyopita. Amesema mke wake anagomba na anakuwa juu yake pindi wakiwa wanagombana. Ana shout sana kwa even jambo dogo tu. Amesema...
Mtu ambaye haisikii sauti ya mkewe
kamwe hawezi kuitii sauti ya
wazazi wake mwenyewe waliomleta
duniani..
Tukumbuke kuwa wenzi wetu ni ubavu wetu... ni zaidi ya ndugu wa damu moja na ni zaidi...
Mara nyingi nimeona post za wanaotafuta mke/mume humu jf. Sasa kuna yeyote aliyekushafanikiwa kupata mpenzi/mchumba/mke/mume kwenye mitandao ya jamii na ndoa ikadumu?
Wadau staff mwenzangu kaja kuniomba ushauri,
Anasema alimuoa mkewe akiwa na mtoto lakini alimuambia kwamba jamaa huyo waliezaa nae hajali huyo mtoto wala hamuudumii huyo mtoto,wala hana...
Habari zenu wana jamii, mi naomba kuelimishwa juu ya hili swala la kukumbushana siku ya kuzaliwa haswa kwa wapenzi, je mmoja wapo anaposahau kumpa heri ya siku ya kuzaliwa mpenziwe inaonyesha...
Wakati mwaka waisha
Mwaka huo wayoyoma, tuwache uende zake,
Wacha uende salama, ulijaa mambo yake,
Tuombacho ni uzima, tupewe baraka zake,
Wakati mwaka waisha, penzi lako haliishi.
Penzi lako...
Mi ni mkristo, nina umri wa miaka 37 nahitaji mke mwema mwenye umri wa kuanzia miaka 28-42 Elimu yangu ni Diploma, ni mjasiriamali, Mke mtarajiwa awe hajazaa, awe muislam au mkristo, asitumie...
Tuna tofautiana umri mkubwa sana nimemuacha 10yrs but uki tuaangalia kimuonekano wetu utasema kama tunapishana 4yrs vile,
Binti mzuri tu kisura,umbo mpaka tabia,good enough ni kua namfahamu tangu...
habari ndugu, jamaa na marafiki.....
Sina ratiba yoyote katika hizi siku kuu jamani kama upo mpweke kama mimi naomba tuwe kampane!!
0713644485 my number kwa walio serious tu
Mim n kjana mweny umri wa miaka 21 na ninasoma kdato cha sita, kunamwanamke n mke wa mtu, tumejuana sasa n mwaka mmoja.
Nilipokuwa likzo ya mwez wa sta mwaka huu unaoisha, nilikuwa nimetulia tu...
Wana MMU
Yaani huku uswazi kwetu Morogoro Road(Dar es Salaam) kuanzia kituo cha Bigbrother(Urafiki), Manzese kwenda mpaka Magomeni vile vituo vyoote vya Mabasi ya Mwendo kasi(BRT) waswazi...
WanaJF, heshima kwenu hasa wanaothink positively. Ebana ee, msala, kuna mmama mtu mzima flani hivi japo si sana, ana umri wa 38 yrs na anafanya kazi benki kama mkuu wa idara, kifupi yuko vizuri...
Habari wana-MMU
Kwa tafsiri iliyo rahisi ni kwamba kila nyumba ya wageni utakapojaribu kuulizia nafasi ya kulala msimu huu wa sikukuu na kumalizia mwaka utaambiwa nafasi za kulala hamna ila...
.. Daah! wanaume tuache hizo, najua wapo wengi sana humu... mkishafanya yenu hamtaki kabisa kusikia kuhusu "OUTPUT"... Kama huyu mwenzetu hapa anavotoka nduki.... Daaaah ni shida kweli kweli...
Polisi akigagua ndani ya nyumba ya Rebbeca
Wakati huku Bongo wakiuana kwa bastola, kuchoma nyumba na wengine kuchinjana km kuku kisa mapenzi huko majuu nako MWANAUME mmoja aitwaye Martin...
Ni ukweli ulio dhahiri kuwa fedha inaendesha maisha yetu hali kadharika hata mahusiano katika maisha yetu ya kila siku.WANAUME,tumekuwa tukifanya kazi kwa bidii ili kutafuta pesa kwa ajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.