Meeeery Christmas!!!

Msherwa

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
1,338
2,000
Last edited by a moderator:

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,678
2,000

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,968
2,000
thanks Pokofame i wish u a very merry xmas to you and your family
 
Last edited by a moderator:

Msherwa

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
1,338
2,000
Kwahiyo wengine ndo hututakii xmass njema? Basi sawa wacha niondoke!

jamani kumbe nilikusahau, si unajuamaandalizi tena, huku baby anataka rav 4, mumy home kaniagiza kilo 80 za mchele, wa pembeni naye anataka samsung, basi unajikuta unasahau hata wale wa muhimu kama wewe, but Merry Christmass Munkari, i wish u all the B!
 
Last edited by a moderator:

Watu8

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
53,414
2,000
Kheri hizi ziwe kwako pia mkuu na familia yako...

Yakiwa yamebaki masaa machache kuzaliwa Bwana Na Mwokozi wetu. Vyema kutakiana heri katika sikukuu hii tukufu na adhimu. Kwa upande wangu, nawawish hawa MERRY CHRISTMAS chief-mkwawa C6 njunwa wamavoko @c Ritz MziziMkavu FaizaFoxy white girl Lady doctor farkhina King'asti Smile Preta Moderator Invisible mello CCM mtoto Nyani Ngabu watu8... Nani nimemsahau? Hebu nawe wawish wawili watatu ili kuipendezesha sikukuu yetu!!
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom