Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kuna jamaa yangu mmoja ametembelewa na mama mkwe wake kutoka 'mkoani'. Jamaa amebahatika kupata mtoto wa kike ambaye kwa sasa ana umri wa mwaka mmoja. Siku moja jamaa alikuwa anatoka kuoga...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
  • Closed
Habari zenu wana mmu! I hope most of you now are opening boxes... Wishing a happy boxing day! Sasa wadau, mimi leo sijui niite vipi, binafsi kithembe sikipendi kama nini! Haya bwana, leo...
0 Reactions
48 Replies
10K Views
Habari za wekend wadada na wakaka, Hii story ya rafiki yangu ameshindwa kujiunga humu anaomba msaada wa mawazo yangu nikaona niilete humu tusaidiane kumshauri, nitampa aisome na yeye... Mi...
1 Reactions
129 Replies
10K Views
Mi sio muabudu wa mambo ya jadi kutokana na malezi na mazingira niliyokulia.Mchumba angu ni msambaa ana chale za kutosha kifuani.Nimejaribu kumdodosa kwa kutumia lugha laini na kumpetipeti lakini...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Kila "guest" ninayo enda hapa dar naambiwa vyumba vimejaa najiuliza kwa nini iwe leo tu tena siku ya "xmass".....???
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Wandugu habari zenu kiufupi nina mchumba wangu ambae tumeahidiana kuoana endapo mungu ataendelea kubaliki uchumba wetu kiukweli uyu dada nampenda sana sikumoja katika mazungumzo yetu nikijaribu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Napenda kuwakumbusha wanawake usafi wa maeneo nyeti. Juzi nimekutana na demu ambae hata hakati mav.u.zi alafu mbaya zaidi alienda kukojoa kabla hatujaenda kulala. Hamu iliniisha nikaishia...
1 Reactions
71 Replies
11K Views
Wadau poleni!Nisiwe muongeaji sana nataka kuuliza hivi hii supu ya pweza mbona imekuja kuwa maarufu sana hapa mjini mpaka vijana wanaigombania?Kwan kuna kitu gan hasa kwenye supu hii?Je...
0 Reactions
58 Replies
13K Views
Wakuu hamjambo; kumsamehe na kuendelea na mpenzi wako hata kwa kosa la kukusaliti ni ishara kwamba una upendo wa dhati kwake.....kuna ukweli wowote hapa?
1 Reactions
7 Replies
1K Views
kwanza napenda kuwaomba radhi kwa kuwapotezea mda wa kufungua zawadi zenu mlizopewa jana kwakuwa leo ndo boxing day.mimi ni mvulana niliyetokea kumpenda msichana mmoja hv jina kapuni,kwakuwa mi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Pamoja na kuwa kuna wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake kama ilivyo kwa wanaume. Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia ndani ya ndoa, wanawake ni wengi...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
kuna tabia hasa kwa wavulana kuwajaribu wapenzi wao kama ni wagumu kukubali pindi watongozwapo. MARA NYINGI WANA TOA NAMBA ZA SIMU KWA RAFIKI ZAO ILI WAWATONGEZE NA WAKATI MWINGINE WANAWEKA LOUD...
0 Reactions
20 Replies
6K Views
Mdada anayevaa chupi kwa ajili ya fasheni, anafanya hivyo ili nani aone fasheni?? Mabwana au wasichana wenzie?? Unakuta dada kavaa chupi aina ya kandambili, wavaaji wa chupi za namna hii wengi...
4 Reactions
210 Replies
52K Views
habari wana JF! mimi nimeolewa na tuna watoto wawili kwenye ndoa ambayo naweza kusema pamoja na changamoto za hapa na pale, ndoa yetu ina furaha. hivi karibuni nimegundua mimi na husband tumekuwa...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
A single sperm contains 37.5mb of DNA information. One ejaculation represents a data transfer of 1.5875 TeraBytes Sasa jiulize kwa siku unafanya data transfer kiasi gani...!!! Now just compare USB...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Najitokeza tena hapa!!!,natafuta mke,naitaji mwanamke ambaye atakuwa tayari kuanza maisha ya ndoa,naitaji mwanamke mwenye umri wa kuanzia miaka 40 na kuendelea na awe na nia na dhamira ya dhati...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Katika kipindi hiki cha mapumziko ya sikukuu za mwisho wa mwaka inawezekana kabisa mahusiano yako wewe na mpenzi wako hayako vizuri kabisa, inawezekana ikawa ulimkosea au umemkosea hivyo basi...
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Una dada yako ambaye ni mjamzito baada ya kubakwa na kutokana na hiyo issue kutoa hiyo mimba anataka ila anahofia kuua kiumbe kisicho na hatia tumboni na kuiacha hiyo mimba anataka ila ana hofu...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Nipo hapa mtaa wa kati nafanya utafiti binafsi. Asilimia kubwa ya watu, hasa vijana na watu wa umri wa kati, wapo wawiliwawili (bond) na wanaonekana wapo kimahaba zaidi. Nimepita mitaani...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Friends are usually for life and help make your life complete. We can have many friends in life but some turn out to be toxic. When people say ‘toxic friend,’ they actually mean the type of friend...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom