SnowBall
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,052
- 2,846
Wanabodi Asalaam Aleykum!!!!!
Natumaini nyote mko poa na mnajiandaa vizuri kuzipokea sikukuu za mwisho wa mwaka.
Leo bana nimeona nishee na nyie jambo flani ambalo kadri siku zinavyoenda naona kama litaniletea shida. Ni hivi: Hapa ofisini nilipo, tupo kama watu sita hivi na kwa bahati nzuri ama mbaya wengi wao ni wasichana/wanawake..na layout ya ofisi yetu ni ile ya kijapan (open layout). Yaani hakuna vichumbachumba...wote tunatumia meza moja kama vile dinning. Naipenda hii style kwa sababu huitajiki kutembeatembea kumfuata mtu...mambo mengi mnaweza kuulizana tu frankly na pia ni rahisi kuwaserve wateja ni easy ..kwani haitajiki kufuata zile 'bureacracy'!!
Sasa katikati ya hili kuna tatizo liko hapa...mmoja wa hawa dada zangu hapa anaonekana ni mjamzito..(kitu kama cha miezi minne)..Yaani from nowhere huyu bidada amekuwa 'rafiki' yangu mpaka kila mtu anashangaa..Ni kwamba hawezi kufanya chochote bila kunishirikisha..Binafsi naanza kuona kero kwa sababu iwe kwenda lunch ama kwenda kokote kule lazima aongozane na mimi..na nikifanya kama namkwepa 'ntajuta' yaani ananipa makavu live na ananinunia kikweli kikweli...Nilijaribu kuwashirkisha staff wenzangu ambao pia wanaona hali halisi walichoniambia ni kwamba 'Mimba yake Imenipenda'...lolz..najutaje sasa...Anyways ninashindwa kukonnect dots kwa sababu nimeishi na watu wengi lakini haijwahi kutokea hivi..
Kinachonishangaza na ambacho kimeniacha hoi..ni pale ambapo huyu bidada anataka kushare na mimi hadi vikombe ambavyo natumia..na kama nikiwa nakunywa soda..utasikia..'snowball' usimalize bana ..niachie kidogo' (yaani anywe nilombakishia)...na hata kama nakula embe utasikia..'usimalize bana niachie kidogo na mie'....
Hivi jamani nyie ambao mlishawahi kubeba mimba au ambao wake/wapenzi wenu walishawahi kubeba mimba ndo hivi inakuwaga????....'Ni kweli ni Mimba tu au kuna jengine jameni'.....Ushauri plzzz!!!!