Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni kijana wa kiume ninamiaka 32, nimeajiriwa hapa DSM nahitaji mchumba awe kati ya miaka 25-28, mweusi, mnene pia awe mkiristo na asiwe mrefu sana. Karibu pm
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejaribu kupitia nyuzi tofautitofauti zenye kuongelea suala la michepuko na kukuta wachangiaji wengi tofauti nanyuzi zingine katika jukwaaa hili. Karibuni mchangie sababu zinazopelkea nyuzi...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
KWASABABU UMELIPIA HAIMAANISHI UTUMIE YOTE Siku hizi ukinunua kifurushi cha mawasiliano kwenye mitandao ya simu, unapewa meseji 250 kwa siku.Ukisema utume meseji zote hizi, hata kama utatumia...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
There's no physical connection attached to anything anymore. We've developed relationships with things, not each other. Ninety-five percent (95%) of the personal conversations you have on a...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
TUKUMBUSHANE KIDOGO ...........unakumbuka nini unapoona barua kama hiyo???....>>>>>>>>ilikuwa nouma kwangu aisee mana ile barua ilisomwa mtaa mzma yani kila mtu aliipata na mwisho niliiona...
4 Reactions
77 Replies
19K Views
Habari wanajukwaa, Baada ya kuleta uzi jana kuhusu tabia ya mke wangu kuninyima tendo la ndoa, Leo nikiwa nimekaa na bosi wangu mpyaa nimepata mshituko baada ya bosi kuniambia haya... "Mdogo...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Shemeji wangu (bwana wa dadangu) alipatwa na ajali, na sasa yupo amelazwa hospitalini hapa kwetu Nairobi na kuwa kama zezeta fulani. Anajinyea na kudondokwa na udenda, lakini muda wote mke wake...
40 Reactions
161 Replies
18K Views
Habari wana jukwaa, Hivi hii tabia ya mwanaume kufanya mambo ya kike kama kucheka kimbea na kupenda kujisheua sheua kama mwanamke inakuwa ni hulka au mtu anakuwa na hormone za kike?Maana huwa...
1 Reactions
71 Replies
21K Views
Wanaume mnaojisifia mnajua mambo sita kwa sita mnaboa wengi si lolote! Umekutana na jamaa very handsome very smart kajazia misuli ukamtamani yaani kila ukimwangalia pichu inajaa...
3 Reactions
45 Replies
9K Views
Habari wadau wa MMU hebu toeni msaada wa nini cha kufanya ili kuchukua taarifa sahihi Au ungekuwa ni wewe ungechukua hatua gani..
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi ni mtumiaji mzuri wa Mitandao ya kijamii wiki iliyopita niliona application kwenye playstore yangu inaitwa Badoo nikainstall kwenye siku yangu cha kushangaza mtandao huu umejaa wanaume...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Muda sasa tangu social networks zimeanza na kuwa maarufu hapa nchini. Katika muda huo watu wameshakutana na kuanzisha mahusiano ambayo yamekuwa na mwisho tofauti. Yapo yaliyoendelea na kuwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
"Unalikuta mtu na elimu yake, mwenye potential kubwa tu, analia tu kila siku, kisa mapenzi kuna watu huko duniani wanahitaji kuelimishwa, kuongozwa, kupewa moyo. mwenyewe yupo tu, amejisahau...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimebahatika kupanda treni Mara kadhaa nimeshuhudia warembo wakipanda na kushuka hasa kituo cha tabata.Nadhani nitapata mchumba WA kuoa na kuweka ndan.Kuna namba kadhaa za wife material.
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Uko kitandani unataka kula tunda,Demu anaanza kukueleza shida zake hadi m#boo inalala.
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Kuna dada mmoja ambaye ni mke wa mtu naishi naye jirani umbali kama wa nyumba nne au tano kutoka kwangu ni mzuri sana kwa sura na umbo, sina mazoea naye sana na ananiheshimu sana na tukionana huwa...
0 Reactions
83 Replies
17K Views
Awali ya yote natumai mu wazima. Nimekuwa nikujiuliza kwanini watu hulalamikia maswala ya michepuko wakati nikiangalia kwa jicho la pili ni kwamba idadi ya wanawake ni wengi kuliko wanaume...
2 Reactions
102 Replies
15K Views
Habarini humu, Jesca ni msichana mwenye urembo wa kati ila mvuto wake mkubwa upo kwa nyuma, amejaa vizuri na miguu minene inayoshabihiana na mtuno wake kwa nyuma, mwenye hipsi za mduara...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Right now niko kwenye stage ya where i am bored to death. Kila kitu kinaniboa! Kuna mtu kaniambia ni side effect ya kuumwa mda...
12 Reactions
134 Replies
24K Views
Ukiona 70% ya maneno unayosifiwa unasifiwa hiyo fat booty stuka,wakati mwingine unajua huna hata kubwa kakazania kusifia hapo hapo....unapotezea mda anarudi hapo hapo kusifia hapo tu,...tuwe wazi...
2 Reactions
48 Replies
8K Views
Back
Top Bottom