Wanawake warefu wana tabia za kukera sana tofauti na Wanawake wengine, Ni wajeuri, viburi, na wanajiamini kupindukia, Ni wagumu sana mara nyingi wanapotongozwa, wanapenda kunyeyekewa sana, na Ni...
Ni kweli natafuta mke sasa. Umri nao umeenda sasa. Kwa masuala ya details yatakuwa kati yangu na huyo atakayeni inbox. Kwa kweli najua wapo wanawake humu wengi tu na wazuri tu ambao kwa namna moja...
Sisi Wanaume Tunapaswa Kua Vichwa Vya Familia Zetu ... Tunapaswa Kuwaongoza wake zetu ...
Wanaume wa humu wanaomba ushauri wamekua soft sana wanaomba ushauri mambo ambayo walitakiwa wawe...
Hayo ni maneno ya mchungaji alipopewa kutoa neno la shukrani katika maeneo ya makaburini ambapo mke wake alikuwa anazikwa. Mchungaji huyu aliyesifika kwa kusimamia sheria kali za dini na imani ya...
ACHA UBOYA WEWE UKIMWI UPO SIKATAI LAKINI
Binafsi Peku huwa sipendelei japo kuna wakati game tight unaamua kuiuza tu kwa pesa yeyote ila sio mara zote tu ukomae komae kwa principle za ajabu utaja...
ADVICE TO MEN (GUYS):
Dear men,
1. Having many girlfriends does not make you a man. It only makes you a womanizer and a cheat and a boy.
2. A real man has only one woman in his life.
3. For...
Najiuliza sipati jibu. Nadate wamama watatu kwa wakati mmoja.
Kila mmoja anajifanya ananipenda sana, wananiganda sana kila mtu kwa wakati wake. Kila mtu anajifanya ananijali sana.
Sio mimi tu...
Sijui Kama ushawai fall in love ile haswaa..
yani unampenda mtoto wa wenyewe hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu
Akikuita tu "my love"unajiskia tu...
Habari za leo wapendwa wa jukwaa pendwa kabisa,
Heri ya mwaka mpya kwenu wakuu! Hongereni kwa kufika mwaka 2016 salama, kama umefika na vikwazo au matatizo kama mimi jipe moyo.
Hizi ni salamu...
Maana roho mbaya huwavuvia kinamama wa kambo na kuanza kumtesa mtoto asie mzaa yaani wa mumewe hadi Kumnyima chakula n.k.hii roho hutoka wapi na tunaamini wanawake wana huruma?
Bwana wangu na mimi tuko kwenye mahusiano ni mwaka wa 3 sasa. Tulikubaliana tangu mwanzo hatutofanya hayo mambo mpka ndoa. Hivi karibuni amekuwa akinipressure na hataki kuelewa kuwa siko tayari...
Hi
Kuna hii tabia ya muda mrefu na iliyoota mizizi ya wanaume kuomba namba za wanawake ovyo
Unakuta upo kwenye dala dala let say mmekaa kiti kimoja, utashangaa baada ya salaam tu mtu...
Mwanamke anaweza kumuacha Mwanaume mwenye VISION nakumfuata mwenye TELEVISION lakini ipo siku atamuona mwenye VISION kwenye TELEVISION ya mume wake.:cool:;)
Wanaume tumetofautiana kama ilivo wanawake hivo mapungufu ni mengi. Kama ilivo kawaida huwezi kukosa wanaume wanaopiga wake zao kwasababu zozote wengine mingumi wengine viboko hata humu JF najua...
Wakuu nimemkumbuka mke wangu wa zamani Bantu lady long time sijamwona.
Mwenye taarifa zake anijulishe nahitaji tu kumsabahi nimemiss tabasamu lake matata.
Mke wangu wa sasa charty hana nongwa...
Ni kama aina fulani ya hallucination au fashion fulani kupenda kuolewa au kuoa au kuoana na mtu wa taifa fulani hasa wazungu atu wengi hasa kinadada wanawazimia mno wazungu nk ili tu kupata half...
USIJIDAI MJUAJI ULIZA UNAPOKWAMA
Tulipokuwa watoto, chochote ambacho tulikuwa hatujui au hatuelewi, tulikuwa tunauliza.
Na wala hatukuona aibu kwamba tutaonekana hatujui.Tuliuliza bila ya kuwa na...
yani unampenda mtoto wa wenyewe hadi akikupigia ile sauti ilivo tamu unajiskia kutafuna na kuimeza hiyo simu
Akikuita tu "my love"unajiskia tu kuvua nguo mwenywe
..
hicho kiupendo ukiwa nae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.