Habari za leo wadau,
Kuna movie ijulikanayo kwa jina la 'Why did I get married too' ni nzuri sana, kwa wale ambao hamjabahati kuiona tafuteni muicheki, kwakweli ni nzuri sana inafundisha...
Habari pipoz,
Hivi inakuwaje maana mie hata sielewi unakuta mtu na mkewe wanaishi na wanawatoto wawili au mmoja. Mke ni mama wa nyumbani na mume ni mtoka asubuhi akapambane na kilicho mbele yake...
Vijana wenzangu unapoamua kuoa mrembo, msomi na binti wa digital, lazima ukubaliane na haya;
1. Wasichana wengi sasa hawajui kupika. Wanajifanya wamechoka nitanunua msosi sana tu, tena usipokaza...
Ubinafsi ni tabia ya kufanya mambo huku ukitanguliza maslahi yako mbele bila kujali mtu uliye karibu naye.
Ni kweli kwamba kujipenda kwanza ndio jambo la msingi lakini tafsiri hiyo haipaswi...
Wasalaam......
Mimi mwanaume mwenye umri wa miaka thelathini (30) nimejiajiri na pia ni mhitimu wa shahada ya kwanza,
lakini hapa naomba kwa aliye tayari yaan mwanamke wa umri wowote ..ana...
MACHOZI
Machozi ni maneno ambayo moyo hauwezi kuyaeleza.Machozi ni hisia kubwa sana inayotolewa na mtu, inaweza kuwa furaha au inaweza kuwa huzuni.Hakikisha unaleta machozi ya furaha kwa watu...
Kila siku naona kilio wanaume wakilia kukosa wanawake wazuri wa kuoa, haina maana wanawake wa kuolewa hawapo, wapo ila wamehodhiwa na mabazazi.
Nuwaombe mabazazi na wengine wote mnaohodhi idadi...
habari zenu wadau,
naamini wengi wenu ni wazima na buheri wa afya kama ukiweza kufika kusoma mada hii.
niende kwenye mada tajwa.
Kumekua na wimbi kubwa la wanandoa wengi kutoka nje ya ndoa zao...
....hili jambo nmekuwa nikilitafakari muda mrefu sana lakin mwisho wa siku naangukia kwenye jibu moja....sitokuwa nakosea sana nikisema MAPENZI & PESA ndo vitu vinavyoiendesha hii dunia ya...
Kwa mdada yeyote aliyejitunza mpaka kufikia umri Wa miaka 23- 26 nampa zawadi ya ndoa bila kujali mrefu, mwembamba, mweupe, mweusi hata kabila haijalishi.
Awe mjasiriamali au kama ana elimu awe...
Ni mtoto mdogo hajavuka 18 sema maisha yamemchapa.
Ni mwaka na nusu tangu nimjue ni yule msichana hanaga makao ya kudumu zaidi ya kudandia.
Sasa katokea Bwana anataka amuweke ndani walikutana...
Nimekuwa na jioni ngumu kweli, niliitwa kwenye kikao cha usuluhishi mahali (naomba nisipataje jina) Kilikuwa ni kikao cha wanandoa mwanamke akilalamika kuwa mumewe anamnyima haki yake ya ndoa...
Hivi hili swala la marafiki wa jinsia mbili tofauti kusalimiana kwa kukumbatiana linaonekanaje...
Sio mwanzo wa kuanza kutamaniana baada ya hapo, maana lazima vifua vigusane na inapelekea zero...
Wish you luck my sister umpate mwanaume umtakae nimependa the way ulivoandika post yako,u seems u so intelligent i really appricate on you japo sikufahamu..nakuombea upate mume mwema..all the best...
Mwanamke anapendeza na kuvutia zaidi anapokuwa na nywele zake za asili wala sio mawigi. Hiyo ni FACT.
Mawigi yanaboa na yanatupunguzia hisia, mfano pale mwanaume unavyozishika au kujaribu...
Leo nikiwa kariakoo nangoja daladala nikamwona binti mmoja shombe kwenye daladala iliyoandikwa ubungo au simu 1000.Basi ili nipate angalia namba nikapanda.kufika jangwani kinda anauliza jamani...
Wadau mmeamkaje,
Jana nilikua pahala natazama mpira huku nakunywa bia taratibu, ghafla akatokea rafiki wa msichana wangu alikuja hapo bar kuchukua chakula, aliponiona akaja kunisalimia, baada ya...
Wana JF hamjambo?
Kazi yangu kwa mujibu wa job profile yangu ni kuajiri, kufuta kazi, promotions, demotions na kazi zingine zinazohusiana na hizo, hivyo mkasa ninaowapa nimeutoa kwenye...