Natafuta mchumba wa kike

makasikasi

Member
Jan 11, 2016
10
3
Natafuta mchumba wa kike umri 25-30 fani lazima awe mwalimu either secondary, primary, lecturer or tutor.

Kwa mawasiliano zaidi ni PM
 
Uchumba ni hatua ya juu kidogo kwenye mahusiano nakushauri tafuta kwanza rafiki
 
Makasikasi wewe wa dini gani? Maana hizo sifa watu wanazo. Ila dini hijasema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom