angelita
JF-Expert Member
- Jun 13, 2013
- 3,017
- 2,431
Ni mtoto mdogo hajavuka 18 sema maisha yamemchapa.
Ni mwaka na nusu tangu nimjue ni yule msichana hanaga makao ya kudumu zaidi ya kudandia.
Sasa katokea Bwana anataka amuweke ndani walikutana katika harakati zake za kudanda danda.
Binti jamaa hana hisia naye hata kidogo sema jamaa ndo kafika kaoza. Na alivyo mshenzi wa tabia kamsambazia binti kijijini kwamba anataka kumuweka ndani sema anazingua.
Kijijini wakawaka binti kwanini Bahati anapozea wenzake wanalilia. Wacha wamwandame binti hana naamna kakubali posa ikapelekwa bado mahali.
Ndo Watu wazima kumuweka kitako mama wajua maana ya ndoa??? Au ndo kwamba umekosa naama umeamua kukubali upate pa kujibanza???
Mimi Dada yako usinione miaka yakatika Niko mwenywewe sio kwamba mekosa wakuniweka ndani hapana ni vile naogopa kufanya chaguo lisilo sahihi nikajifunga maisha
Sasa mdogo wangu mwanaume huna hisia naye kwanini uwe naye tena ndo mume. Bora sasa hivi kabla mambo hayajawa mabaya muache Fanya yako yengeneza maisha yako safari ndefu mbele yako.
Bwana ananililia mempeperusha ndege wake