caxton
Senior Member
- May 8, 2015
- 145
- 149
Wana JF hamjambo?
Kazi yangu kwa mujibu wa job profile yangu ni kuajiri, kufuta kazi, promotions, demotions na kazi zingine zinazohusiana na hizo, hivyo mkasa ninaowapa nimeutoa kwenye utekelezaji wa majukumu hayo hapo juu.
Kuna staff mmoja ambae ni mke wa mtu, ni mzuri sana, ni degree holder, amemaliza masters yake late last year. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikilazimishwa au kuamriwa na mkurugenzi wa rasilimali watu(HR) kumpandisha vyeo huyu dada, mimi ni HR business partner, hivyo mimi ndie mtendaji wa shughuli za idara yetu, then naripoti kwa huyo director of HR
Nimeshampandisha vyeo mara 3 huyu dada, haraka haraka, mkurugenzi anatengeneza mazingira yote kuanzia kwa mkuu wa idara ya huyo dada, mimi naambiwa nitangaze nafasi, natangaza, wanaomba watu ndani na nje, nawaita, yule dada nae anaiomba nafasi hiyo, naambiwa nae lazima awepo kwenye shortlist.
Mimi na wenzangu kwenye idara pamoja na mabosi wa idara ya huyu dada tunafika pahala kwenye panel ya interview tunampa marks za chini kabisa maana hajiwezi, anapitwa mbali na wenzie ndani ya idara walioomba nafasi hiyo, cha ajabu, director wangu mwisho atasema tumchukue huyo dada, baadae viongozi wa idara yake wanakuja kwangu kuhoji uhalali kwamba walimpa marks za chini sana imekuwaje?
Nawajibu HR ina vigezo vingi.
Huyu dada alitoka chini kabisa (clerk) hadi kufika kuwa line manager katika idara yao, kilichosababisha mafanikio haya ni uhusiano wa kimapenzi kati yake na huyu director, ni uhusiano wa muda mrefu, maana ilifika pahala bosi ilibidi aniambie ukweli, wana miaka 4 sasa, cha kushangaza mume wa huyu dada hushangilia mno habari za kupanda cheo kwa mkewe kiasi cha kufanya sherehe na kuita watu, sisi wenye kujua tunalilia mioyoni.
Angelijua kuwa anachangia mke na bosi angezirai, mahusiano namna hii hapa kazini ni mengi mno, na tuna siri nyingi mno za mabosi wa idara mbali mbali wenye uhusiano na masista duu wenye ndoa zao, huku nyumbani mme unajitapa kabisa wife yupo mahala flani kikazi si hapa kwetu tu huwa tuna vikao vyetu vya club yetu ya watu wa HR huwa tunakutana mara kadhaa kujadili changamoto.
Changamoto hii ndio kubwa, kila mmoja wetu ataisema na kutoa shuhuda nyingi zilizo kwenye kampuni au shirika lao, ndio maana kasi ya wanawake kupanda vyeo na kufanikiwa makazini ni kubwa usije ukadhani ni weledi hapana, kubwa zaidi ni mapenzi ndio yanayowaletea mafanikio ya haraka
Kuna madogo flani wanategemewa sana na idara zao hata Jumapili wanaitwa wanakuja, wakiwahi sana kutoka ofisini ni saa usiku na six kamili yupo ofisini, lakini wanapoomba nafasi za vyeo hawapati, tunalazimishwa kuwapa nafasi hao wake za watu wanaoshinda kutwa mzima wakijipaka rangi mdomoni, tunashindwa kukataa maana mkurugenzi akitaka kukufukuzisha kazi ashindwi.
It is particularly on this note, usije ukaona mkeo anapata mafanikio kazini na kupanda vyeo haraka ukashangilia utabuma.
Fanya reconciliation ya mahesabu ya maisha yake ya kikazi