Uchoyo na ubinafsi uliopitiliza

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,551
729,447
Nimekuwa na jioni ngumu kweli, niliitwa kwenye kikao cha usuluhishi mahali (naomba nisipataje jina) Kilikuwa ni kikao cha wanandoa mwanamke akilalamika kuwa mumewe anamnyima haki yake ya ndoa.

Yaani anambania sana
Jibu alilotoa mwanaume tena mbele ya kikao na kwa kujiamini kabisa lilimuacha kila aliyekuwa pale mdomo wazi .

Jamaa alisema eti 'akiingiza yote mkewe atafaidi sana'.

Sikuwahi kuwaza kuwa katika maisha yangu naweza kukutana na kituko cha namna hii wala mtu mwenye mawazo ya namna hii hasa kwa mwenzi wake.
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu wanaitisha vikao vya kulalamikia ukosefu wa tendo la ndoa kwenye ndoa?

Ama kweli watu tumetofautiana.

Hivi mtu unaanza anzaje hata kuyazungumzia masuala yako ya chumbani na mwenza wako kwa watu wengine?

Scratchin' my head!!!!
Hizi kesi zipo sana na nyingine hupelekea mpaka talaka
 
Kwangu haiingii kabisa akilini aisee.

Yaani niyaweke masuala yangu ya faragha kwa watu namna hiyo?

Hao watu au hivyo vikao ndo hurudisha hilo tendo la ndoa?

Akili zingine ni matope kabisa.
Watu wanatofautiana kikao kimoja pale kwa kabuma mtoni kwa Aziz Ally mwaka juzi mwanamke bila haya alisema mbele ya kikao kuwa mumewe anapenda kuruka ukuta (yeye alitumia neno baya zaidi) baadhi ya watu waliondoka kwenye kile kikao... Kuna watu wamepinda kuliko upinde
 
Lakini hili limekuwa tatizo kwa hivi sasa, wanawake wanalalamika sana kuhusu kunyimwa unyumba au kutolalwa vya kutosha.
Wanaume tujiangalie sana, tuweke heshima ya ndoa, mke na apewe unyumba vya kutosha coz moja ya sababu za kuwaacha wazazi wake na kuambatana na wewe ni kupewa unyumba na kuridhishwa...
 
M nadhani kama wasuluhishi mlitakiwa kumuuliza jamaa, what was the logic behind of his statement.

Yawezekana huwa akiingiza yote na akalidhika anamfanyia vitu visivyostahili. Kila mtu anahaki ya kusikilizwa jamani.
 
Lakini hili limekuwa tatizo kwa hivi sasa, wanawake wanalalamika sana kuhusu kunyimwa unyumba au kutolalwa vya kutosha.
Wanaume tujiangalie sana, tuweke heshima ya ndoa, mke na apewe unyumba vya kutosha coz moja ya sababu za kuwaacha wazazi wake na kuambatana na wewe ni kupewa unyumba na kuridhishwa...
1452881836281.jpg
 
Nimekuwa na jioni ngumu kweli, niliitwa kwenye kikao cha usuluhishi mahali (naomba nisipataje jina) Kilikuwa ni kikao cha wanandoa mwanamke akilalamika kuwa mumewe anamnyima haki yake ya ndoa.

Yaani anambania sana
Jibu alilotoa mwanaume tena mbele ya kikao na kwa kujiamini kabisa lilimuacha kila aliyekuwa pale mdomo wazi .

Jamaa alisema eti 'akiingiza yote mkewe atafaidi sana'.

Sikuwahi kuwaza kuwa katika maisha yangu naweza kukutana na kituko cha namna hii wala mtu mwenye mawazo ya namna hii hasa kwa mwenzi wake.
itakua Mkuu uliaibika balaa kwa niaba ya mdau.
 
Wanaume wamezidi michepuko.....na kila mchepuko unataka goli 3 na kuendelea unadhani akirudi nyumbani iinakuwaje..... ? Na vyakula vyenu chips kuku ndo kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom