Habari zenu wana MMU. Natumaini mko poa, na wk-end inakwenda vzr.
Ok. Kuna hii tabia ya watu kuwa kwenye mahusiano kisiri siri, yan wanagegedena kimya kimya!
Vyuoni, Ofisini, Kwenye za kupanga...
Akiwa amepitiwa na usingizi ndani ya nondo za gereza Tarick anasikia nyayo za mtu zikimsogelea Taratibu. Huku akiwa hoi kutokana na uchovu wa kipigo kizito alichopewa na kikosi cha usalama wa...
Wana JF habar zenu.
Naishi na familia yangu,miaka minne iliyopita tulihamia kwenye nyumba yetu hapa Dar.
Jirani yetu alitupokea kwa furaha na kutuambia habar za mtaa mzima,alituambia pia watu...
Mwanamke asipokua makini anaweza kujikuta unatumiwa na wanaume hata 100.
Mwanaume kaumbwa kushawishi. Ni jambo la kawaida kwa mwanaume kutongoza na kuwa hata na wanawake 10. Hata ukitizama...
Verse 1}
Yanaanza kama safari twende folani ukaone,
Kumbe yana nguvu ni hatari ukishanasa ndio uponie..x2
Mungu aliumba dunia na Maajabu yaake
Ya mwenzako sikia omba yasikupate, eeih ..x2...
NITAMTAMBUAJE MKE /MUME AMBAYE MUNGU AMENIANDALIA?
Na:pastor:Emmanuel
Swali;
Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu
Pastor:Emmanuel
Awali ya yote napenda kumshukuru Mungu kwa ajili yenu kwa huduma...
Nina rafiki yangu amekuwa akiishi Dodoma na msichana wake, the same room as Mr and Mrs japo hawajafunga ndoa.
Jamaa wangu amekuwa akimwamini sana msichana wake, kwasababu kiukweli ukimtazama...
Kwamba kifanyio kina expiry date... Hiki kitu kinaumiza mno! Kwamba hakuna kufanya utundu tena wala kuruka ruka naumia sana tena sana! Kama kungekuwa na jinsi ya kuichakachua hii expire date...
Jamani kumekuwa na tabia ya watu kuwa busy na kushindwa kuwanyonyesha watoto kwa miezi sita bila kuwapa kitu chochote, hili ni kosa na tatizo kubwa sana kwa jamii.
Utafiti unaonyesha watoto...
Siku moja jioni katika mji flani, kulikuwa na basi likisafiri kutoka mji huo kuelekea mji mwingine. Lilikuwa ni basi kubwa na limejaa abiria. Wakati wakiendelea na safari, ghafla, mvua kubwa...
Hodi wanajamvi wakuu wa JF,
Najitokeza hapa kwa mara ya kwanza, kwanza nitoe shukrani kwa jinsi mnavyodadavua mada husika, Nimeoa hivi Karibuni, hivo siku ile ya harusi tulipotoka tu kanisani...
USIKUBALI NDOTO ZAKO ZIZIMIKE KWA MAONI YA MTU MWINGINE
Zama hizi tunazoishi kila mtu ana maoni na kila mtu ana maoni kuhusu jambo lolote.Na kila mtu anaweza kutoa maoni yake juu ya jambo lolote...
USIJILAUMU KWA MAKOSA ULIYOKWISHAFANYA HAKUTAKUSAIDIA KWA NAMNA YOYOTE ILE ZAIDI YA KUKURUDISHA NYUMA.
Moja ya hatua muhimu sana unazotakiwa kupiga ili kuweza kufikia mafanikio makubwa ni kuacha...
NI LAZIMA UPANDE KABLA HAUJAVUNA
Ni lazima upande mbegu kabla ya kuvuna mazao.Unavyopanda mbegu nyingi zaidi ndivyo unavyovuna mazao mengi zaidi. Ukipanda mbegu kiganja kimoja, utavuna gunia...
KITU CHA KUFANYA PALE WATU AMBAPO HAWAKUAMINI KAMA UNAWEZA KUFANYA
Kama unataka kufanya jambo jipya, kama unataka kufanya jambo
tofauti na wengine walivyozoea kufanya, naweza nikakuhakikishia...
NI VIGUMU LAKINI INAWEZEKANA
Kusamehe kuna faida nyingi sana kwa anayesamehe hasa pale unapoamua kusamehe bila hata kuombwa msamaha na kusamehe yale ambayo kibinadamu hayasameheki.
Siwezi...
Mm ni kijana mwenye umri miaka 25 elim degree mkristo mcheshi ninajitambua natafuta msichana mwenye umri miaka kati ya18_25 dini yoyote rangi yoyote isipokuwa asiwe mweusi sana elim kuanzia 4m4...
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nimefanya biashara ya wake za watu kitambo sanaa. Nina uzoefu wa miaka si chini ya 5 katika fani hii, na mwaka huu 2016 nimekata shauri...
Habari wakuu,
Mimi ni mgeni humu naomba kuongea kitu. . . .
Nilipokuwa na miaka 12 nikiwa kwetu mtwara nilianza kuujua ulimwengu wa mapenzi...Na aliyenitambulisha si mwingine bali ni Mwasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.