chifusongea
Senior Member
- Jan 8, 2016
- 164
- 154
Leo nikiwa kariakoo nangoja daladala nikamwona binti mmoja shombe kwenye daladala iliyoandikwa ubungo au simu 1000.Basi ili nipate angalia namba nikapanda.kufika jangwani kinda anauliza jamani abiria anayeshuka hospitali asogee.ndiyo kumuuliza jirani yangu kwani hili daladala linaenda wapi?Akanijibu tandale.nataka kumwomba namba mrembo,dah kumbe yuko na mama yake na Dada yake kwenye daladala.Akanijibu hapa jau best mama na Dada watazingua.nilikuwa sijui hata tandale kuna watoto wa kike wakali wa kuoa kabisaa.mmmh.