Hug (kumbatio) kwa marafiki wasio wapenzi

westgate

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
278
275
Hivi hili swala la marafiki wa jinsia mbili tofauti kusalimiana kwa kukumbatiana linaonekanaje...

Sio mwanzo wa kuanza kutamaniana baada ya hapo, maana lazima vifua vigusane na inapelekea zero distance...

Kuna umuhimu wa kukataza hug kwa marafiki wa mpenzi wako wa jinsia tofauti!?
 
Hivi hili swala la marafiki wa jinsia mbili tofauti kusalimiana kwa kukumbatiana linaonekanaje...

Sio mwanzo wa kuanza kutamaniana baada ya hapo, maana lazima vifua vigusane na inapelekea zero distance...

Kuna umuhimu wa kukataza hug kwa marafiki wa mpenzi wako wa jinsia tofauti!??
Ukute mtoto wa kike mashallah, acha kabisa.
 
Siyo jambo baya... mimi nakumbatia sana marafki wa kike... na nikawaida tu... na saa zingine nakumbatia na matako...
 
Hakuna umuhimu........vile unawaza wewe.......sio wote wanawaza hivyo......hagi is zea tu stei.......
Tatizo sio kuwaza... issue ni hali baada ya tukio, umkute mdada kajazia kifua af hug yenyewe inawekwa poz sekunde kadaa hapo akikuachia unajifikiria mara mbili mbili
 
Hivi hili swala la marafiki wa jinsia mbili tofauti kusalimiana kwa kukumbatiana linaonekanaje...

Sio mwanzo wa kuanza kutamaniana baada ya hapo, maana lazima vifua vigusane na inapelekea zero distance...

Kuna umuhimu wa kukataza hug kwa marafiki wa mpenzi wako wa jinsia tofauti!??
Mbona middle east salamu za madume kwa madume ni mabusu mwaaa na hamna kitu? Hizo hisia zako tu, kama wewe huwezi waachie wenzio.
 
Back
Top Bottom