Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 804
Habar zenu wanaJF,
Hapa nilipo mwenzenu namawazo kedekede moja wala kumi na mbili haikai.Mpenzi wangu tuliependana kwa dhati mahusiano yetu yapata miezi 8,tukiishi pamoja kwa furaha japokuwa kipato changu kidogo lakini asilimia 60 alionesha kuridhika na maisha,gafla alikuja kubadilika nakuniweka katika wakati mgumu kufikia kuniambia hawezi kuishi na masikini kama mimi hakunificha kanieleza ukweli kwamba kapata mwanaume mwenye pesa hivyo basi nimsamehe kwa hilo na wanatarajia kufunga ndoa.
Nilimruhusu nenda kwani sikuwa najinsi na wala sikutaka makuu.Namtakia kila la gheri katika maisha yake.Sasa jamani naombeni msaada hata wakunifariji kipindi hiki kigumu.