Tabia ya kuchomekea dera kwenye nguo ya ndani

Jamani imekomaa hii tabia mdada unakatiza mtaa wa pili na watatu ndani una kipichu tu na umechomekea dera/dila tunatoa fundisho gani kwa jamii hata kama joto sio ustaarabu.badilikeni.
 
Attachments

  • 1453220243199.jpg
    1453220243199.jpg
    7.3 KB · Views: 147
Jamani imekomaa hii tabia mdada unakatiza mtaa wa pili na watatu ndani una kipichu tu na umechomekea dera/dila tunatoa fundisho gani kwa jamii hata kama joto sio ustaarabu.badilikeni.
Akipita aliyevaa hivyo, napatwa kichefu chefu.

Kama nakula, naghairi!

Ptuuuuuuu!
 
Back
Top Bottom