Nogesha penzi: Yajue maeneo mengine matamu kufanyia mapenzi tofauti na bedroom (chumbani)

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
21,320
50,538
Za sahizi wadau wenzangu,

Moja kwa moja niende kwenye maada husika nitazungumzia maeneo mengine tofauti na bedroom unayoweza ku enjoy sex na kufanya msibore.

1. Jikoni (kitchen counter): Hapa panakuwa poa sana kama mnakuwa mmebaki na mpo peke yenu wawili. Ni sehemu nzuri kujaribu na unaeza kumshangaza mpenzi wako kama pia kuna kuwa na kitu chochote kina endelea kuiva kwenye moto. Lile joto la jiko litampa hamasa mpenzi wako na kumfanya afurahi zaidi. Mengine mengine mtajiongeza wenyewe

2 . Dining room (vema ikiwa on the table safi): Ndio meza ile ina matumizi zaidi ya kulia chakula. Habari njema ni kuwa meza ile ina ukubwa wa kutosha kufanyia position yenye unahitaji ni swala la wewe kujiongeza, either missionary position au yeyote ambayo meza inaweza ku wasapoti. Twendeni chimbo namba 3

3. Kitini: Ndio kama ilivo meza pia kiti kinaweza kuwa Sapoti na hii inakaa njema kama wewe mwanaume ukikikalia halafu dada yangu akaja kwa juu then unakua una penetrate huku ukichezea nyonyo. Nisiseme sana. Kujiongeza muhimu. Tuelekee mahali namba 4.

4. Kwenye floor na hasahasa ya bedroom kwenu: Mara nyingine kulalana kila leo kitandani kunawafanya muwe bored sasa mnaweza kujishusha chini. Sitaki kuzungumzia style kwa sababu kila mmoja naamini anaweza kujiongeza mwenyewe na mwenzake.

5. Against the wall: Kwani kuna anayehitaji maelezo ya namnagani ajichetue kwenye ukuta. Hahaha kama hujui piga huduma kwa wateja watakuelezea. Twende haraka na sehemu namba 6.

6. Bafuni: Cha kuongezea hapa ni kuwa kwa wapenzi wa oral sex hii sehemu ni nzuri sana na kwa kuwa inaleta hamasa sana.

7. Sofa: Bahati nzuri sehemu hii haihitaji maelezo ya ziada ni kujiongeza wewe na roho yako.

Sehemu nyingine kama kwenye gari ni kwa wale wenye magari yao sasa wewe kama huna gari basi imekupita.

Sehemu zote zote hizo zinategemea na aina ya nyumba unayoishi. Kama mpo na wengine nyumbani usijaribu kufanya mchezo huo mezani au jikoni utakuwa umetia fora sasa.

Tuongezee na nyingine washiriki

MITAZAMONI..
 
Ofisini, kwenye gari, hii inapendwa na wanaume wabahili anaona shida kutoa angalau 50000 au hata 80000 au 100000 akalipia hotel ndo maana wanang'ang'ania sehemu izo.

Ushauri ubahili na uchepukaji ni maji na mafuta. Your wife ndio ulo mtolea mahali so u can mbato her anywhere, anytime.
 
Hizo sehemu zingine kwa sisi tunaokaa nyumba za kupanga is impossible hahahaha
 
Ofisini, kwenye gari, hii inapendwa na wanaume wabahili anaona shida kutoa angalau 50000 au hata 80000 au 100000 akalipia hotel ndo maana wanang'ang'ania sehemu izo.

Ushauri ubahili na uchepukaji ni maji na mafuta. Your wife ndio ulo mtolea mahali so u can mbato her anywhere, anytime.
Hahahah kwenye gari kuna raha yake ila isiwe frequently jaman angalau kila Baada ya miezi 5
 
Back
Top Bottom